Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Ukipata bilow 25 utamfundisha mengi lakini above 30 utamfunza nini?
Heee kwani we mwalimu au mume?
Ukipata bilow 25 utamfundisha mengi lakini above 30 utamfunza nini?
Kwahiyo mkuuu mankachara unataka kusema kuwa "u cant teach an old dog a new tact of hunting ?"
Hahahahaha sinimeona Wakaka tu, wewe wafanyaje hapa? kabla sijachukua fimbo ondoka hapa mara moja hahahah Morning to you!!
Mkuu above 30 hafundishikiki kabisa??mie najua we learn as we grow and love takes time...
Ukweli hutaopata ndugu lkn wengi wana donda ndugu...
Mkuu above 30 hafundishikiki kabisa??mie najua we learn as we grow and love takes time...
Kwahiyo mkuuu mankachara unataka kusema kuwa "u cant teach an old dog a new tact of hunting ?"
Huyo wa below 25 utakuwa unamfundisha nini?
Heee kwani we mwalimu au mume?
mengi tu
How to love?
How to care?
How to make a monthly burget at home?
Vipi tutawalea watoto wetu?
Na vile vile ukioa below 25 inakufanya upende kutembea sehemu mbali mbali nae kama beach, mbuga ambayo itakupelekeeni kukuza mapezi yenu
Ila above 30 anaweza hata kukushinda kwa hoja endapo utakua na msimamo kuhusu kitu fulani
Point yako nimeielewa vizuri kwenye hii post
ni vigumu sana kumueleza kitu akakuelewa, ndoa nyingi zikifika above miaka 30 hubakia uzoefu tu
mengi tu
How to love?
How to care?
How to make a monthly burget at home?
Vipi tutawalea watoto wetu?
Na vile vile ukioa below 25 inakufanya upende kutembea sehemu mbali mbali nae kama beach, mbuga ambayo itakupelekeeni kukuza mapezi yenu
Ila above 30 anaweza hata kukushinda kwa hoja endapo utakua na msimamo kuhusu kitu fulani
Ukipata bilow 25 utamfundisha mengi lakini above 30 utamfunza nini?
Well said... hao wa above 30 ni wazuri kuwa michepuko lakini kwenye ndoa ni big Nooooo
Well said... hao wa above 30 ni wazuri kuwa michepuko lakini kwenye ndoa ni big Nooooo
Ni wajuaji sana na wengi walishakata tamaa ya kuwa kwenye ndoa, so expect anything ukimuoa.....Kwa nini 'big no' mkuu?
huwezi kumfundisha yale unayotaka afanye, atajifanya anajua kila kitu.... usipokaa vizuri ndo wanageuka kichwa cha familyMbona hujatajs sababu zako as to why kwenye ndoa ni noo????
No,the more we stay together,the more we learneach other,means the more we love each other!!!!love takesTIME it just doesnt come spontaneously na hilo la kuelewa ni malezi tu inategemeana mtu na mtu kuna below 25ni viburi na hawana heshima....nakubaliana na wewe ndoa zikifikisha miaka 30;zinskuwa mfu ila nahisi umechanganya madesa, hapa tunaongeles wadada above 30;na sio ndoa zilizogonga 30..km sijakuelewa nieleweshe tafadhali!!