Kwa wakazi wa mkoa wa pwani

Kwa wakazi wa mkoa wa pwani

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
6,447
Reaction score
11,504
Nina plani nipate eneo lisilopungua heka 5 hapo ndani nifanye mambo yangu ya kilimo na ufugaji, sana sana nmelenga mkoa wa Pwani especially kisarawe.

Je ni sehemu gani nzuri ambayo ina ardhi nzuri na maeneo mazuri ndani ya kisarawe au popote ndani ya mkoa wa pwani?

Maisha haya nataka niyaandae hata kidogokidogo nifkie hapa 👇👇

images (18).jpeg

images (17).jpeg

images (16).jpeg

images (15).jpeg
 
Nina plani nipate eneo lisilopungua heka 5 hapo ndani nifanye mambo yangu ya kilimo na ufugaji, sana sana nmelenga mkoa wa Pwani especially kisarawe.

Je ni sehemu gani nzuri ambayo ina ardhi nzuri na maeneo mazuri ndani ya kisarawe au popote ndani ya mkoa wa pwani?

Maisha haya nataka niyaandae hata kidogokidogo nifkie hapa 👇👇

View attachment 3529034
View attachment 3529035
View attachment 3529036
View attachment 3529038
Mkuranga kama unahitaji lipo zuri kwa kazi yako,
 
Back
Top Bottom