Kwa wadau wote wa MMU: Karibuni tufanye mwaka

shem Kaizer nimekununia rasmi na mkeo DEMBA

my love Ms.Lincoln mery mery christmass n prosperous new year

dada yangu Heaven on Earth much love and happy new year and mery x-mass
Abou Saydou cjakusahau lol
and all jf members may u hv a very blessed end of the year 2014 and a happy new year 2015.

Wooow atoto thanx ubarikiwe uishi maisha marefu .wsh yah merry X-mass ñ happy new year
Pokea hizi👉💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟
 
Last edited by a moderator:
Wooow atoto thanx ubarikiwe uishi maisha marefu .wsh yah merry X-mass ñ happy new year
Pokea hizi👉💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟💟

thanx alot, yo greatly wellcome
 
Last edited by a moderator:
.......Pamoja Swahiba! :pray2:

Zikiwa zimebaki siku chache sana kufunga mwaka, napenda kiwashukuru wadau wote wa jukwaa hili ambao wameendelea kulifanya moja ya super brands za JF.

TANGA WING: Nawashukuru sana kwa kila kitu. Mungu azidi kutupa moyo wa kujali wenzetu kama sehemu ya maisha yetu wenyewe. Ujio wa Mzee wa Rula umekuwa chachu muhimu na tunaamini wadau wengine watajitokeza na kutuunga mkono. Ahsante sana katibu Mwanyasi, mama wa wing KOKUTONA, members wote CHUAKACHARA, YNNAH, Arabela na bila kumsahau mjukuu kipenzi amu.

A-Wing: ahsanteni sana kwa support.

Dar wing: naona jitahada zenu si mbaya

Mwanza wing: tuko pamoja.

Nawatakia heri ya noeli kwa wale wanaoshereheka na mwaka mpya wa 2015.

Nawapenda nyote.

Babu DC, 1947!
 
mweh...love's in the air..!

Not true!!! and its hard for u to believe! all in all I do love my Liane's papaa jaman wish u a merry christmas and a happy new year sweetdarlingto! Natamani likizo isiisheeeeeeeeeee kwa maloveeee unayonipa natamani mpaka niache kazi ilimradi tu nikuone kila dakika haha haaa!
 
Halafu.nakapenda unapendezaga pigia na simpo kabisa na kikuku ikibidi shem wenye wivu wajinyonge lol

tenaaaa!! km ulikuwa mawazoni mwangu, yeah natupia cmpo maana huu usuper tall nicje kukupita bureee hahaaa! wajinyonge kwa big-g
 
.......Pamoja Swahiba! :pray2:

Haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, swahiba, upo?

Missed you so much brother?

Kwa nini tunapotezana kiasi hicho??

Karibu basi tule vibua na uwono nyumbani kwa bibi!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
.......Nipo swahiba,.....huwa nachungulia tu thread kisha naondoka na mvi zangu.
Nashukuru saaaaana kwa mualiko, ngoja nipige polish Pekoz, na Raizoni zangu...
naamini siku hiyo tubazioni Slim fits, Minis na Maxy Dress za kina Nyamayao, MwanajamiiOne,
Gaga, nyumba kubwa, Maty, Lizzy, Kaunga, King'asti, et al....

bila kuwasahau kina bro The Finest, Mentor, Asprin, The Boss, BAK....etc.....
tupo pamoja Swahiba, 2015 is Loading.

Usiponirudishia my fellow tablet wangu klorokwini sitaongea na wewe 2015:confused2::confused2::confused2:

BTW, Ulikuwa wapi siku zote mzee mwenzangu??

Nakuonaga tu na uchokozi kule nyumbani kwetu Liverpool.... Mi hata sichangii manake BR ananiudhi mpaka nakosa cha kuandika.
 
Wazeee wa bandari....meli hiyooo
 
Back
Top Bottom