Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Wanajua mapenzi ni kugawa tendo la ndoa hata Mara tano kwa siku.Wanajifunza kukata viuno,hawana unyenyekevu,hawana lugha ya kubembeleza,hawajali bajeti ya familia!!!!!!
Mke kama huyo anipitie mbali.
Jikoni akupa sebuleni akupa bafuni akupa chumbani akupa mpaka makoridoni akitoka hapo baby naomba hela ya kusuka.unategemea kidume niendelee na mke anayejua kugawa nyapu tu ?
Thubutu


