goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,151
Kwani ndoa inakuwaje ya mkataba labda mimi sielewi.Hiyo si ndoa Bali kamchepuko

Kwani ndoa inakuwaje ya mkataba labda mimi sielewi.Hiyo si ndoa Bali kamchepuko

Kwani ndoa inakuwaje ya mkataba labda mimi sielewi.Hiyo si ndoa Bali kamchepuko

Wanaume Maboya wapo sana tu ndugu......utakuta limwanaume lenyewe ni kwenda kununua chips na kumpeleka mke kula hotelini yaani hajawahi hata kugusa jiko,khaaah!!Wanaume tunatofutiana mahitaji jamani
Kuna watu wana wake zao hawajui hata kupika chai. Ila huwa sjui kwa nini bado wanaishi na hao wanawake.
Japo kwangu mimi kama hujui kupika siwez kukuoa, siwez kuwa hata bf wako wa muda tu. i know baadhi ya wanawake ambao hawajui kupika na hawaja wahi achwa.
Wanaume Maboya wapo sana tu ndugu......utakuta limwanaume lenyewe ni kwenda kununua chips na kumpeleka mke kula hotelini yaani hajawahi hata kugusa jiko,khaaah!!
Huyo ni bwege we unasema umeokota Almasi.....harafu huyo sidhani kama ni mumeo huyo atakuwa boyfriend tuHaahahahahahahahahahah mi G anajua kupika wewe nna raha jamani yaan nimeokota almasi kwenye mawe
Kaagize soda nalipaKumpikia mwanaume ni alama ya appreciation.
Sasa wewe jifanye unaleta kiburi atapikiwa na michepuko
HahahaKaagize soda nalipa
Swala LA upishi ni kipaji baba .Hakuna kasoro kubwa kwa mwanamke kama kutokujua kupika.
Kuna mambo matatu kila mwanaume angependa kuyaona kwa mke wake.
1 upishi unaoridhisha
2 usafi
3 mapenzi ya kweli
Na bahati nzuri vitu vyote hivyo ni tabia za kijifunza lakini wadada wa siku hizi hayo mengi hawayawezi