Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
HahahaDuh.. nafikiri wote tuko lindo leo. tunavuta masaa tu!!
Tumejadili vzuri sana hii ishu
Nimekubaliana na mtazamo wako pia
HahahaDuh.. nafikiri wote tuko lindo leo. tunavuta masaa tu!!
Asante.. mimi nilale maana natakiwa kuamka saa 11 alfajiri mkuuHahaha
Tumejadili vzuri sana hii ishu
Nimekubaliana na mtazamo wako pia
Mimi pia 12 yafaa niamkwAsante.. mimi nilale maana natakiwa kuamka saa 11 alfajiri mkuu
Kila ntu ana sample zake .Wanaume tunatofutiana mahitaji jamani
Kuna watu wana wake zao hawajui hata kupika chai. Ila huwa sjui kwa nini bado wanaishi na hao wanawake.
Japo kwangu mimi kama hujui kupika siwez kukuoa, siwez kuwa hata bf wako wa muda tu. i know baadhi ya wanawake ambao hawajui kupika na hawaja wahi achwa.
Sawa sawaKila ntu ana sample zake .
ntakuwa sikuwowi shauri yakoSisi sio wafanyakazi eenu ni wasaidizi wenu
ukileta wageni nyumbani mpaka aibu chai in chumvi!Na huku kulea watoto usioweza kuwapikia hata uji inawezekana vipi? vitoto vimejikondea kwa kulishwa mikate.![]()
![]()
![]()
![]()
Nilijua lazima hii kitu ya mama Samia itakuja. Its obvious she is the Vice President what does VP do anyway? She is not that much busy bhana.
Nakupa mfano kuna sista namfaham anafanya kazi kila sku isipo kuwa jumatatu tu kwa kila wiki. Ambapo hiyo juma tatu huwa anaenda kwenye miradi yake ya biashara. Huwa hampikii mumewe hata sku moja.the man is okey with it.
Kuna kitu umeongea kizuri sana nilikuelewa. anaweza akawa hajui kupika ila ni msafi, anajali, anajua kulea, anapenda ndugu ana kushairi vzuri etc. Yeah some people will let cooking slide. Nimekusoma fresh tuu
Mwanamke asiyejua kupika hata kutandika kitanda hatajua.I give you that, na point yangu ni kuwa tusilazimishe kuwa wanawake wote wajue kupika kwani kuna wanaume kama nyinyi mna accept.
Dhana ya mwanamke si mfanyakazi haingii kwenye kupika kwa sababu, kupika ni sanaa siyo mzigo. Kupika ni symbol of appriciation ni symbol of affection ni sehem ya romance. Wakati wewe unaona kupika ni symbol of oppression mimi nakwambia kupika ni symbol of power, mwanamke anayepika kupika ni advantage.
Na kwetu sisi wengine(i believe majorty) ni priority wanawake wajue kupika.
Kupika hakufananishwi na mapungufu mengine ya kibaiolojia. Kupika ni lack of know how. Ni ukosefu wa kujua tuu.
Hakuna kasoro kubwa kwa mwanamke kama kutokujua kupika.Zingatia ushauri huu.
Badala ya kuhangaika na nyonga zako,mapoda na wanja wa mwendokasi,wewe jikite kwenye jiko. Hakuna mwanaume anayeweza kuchomoa kwenye misosi ya maana. Ukilijulia tumbo lake tu biashara imeisha.
Kama hujui mapishi itakuwa ngumu kidogo,japokuwa inawezekana,maufundi ya chumbani ni sifa za ziada,sifa ya msingi ni house keeping na lishe hayo mengine utajifunzia huko huko.
Asante.
Kuna mengine huwa tunavumilia tu japo la kupika ni gumu sana kulivumiliaWanaume tunatofutiana mahitaji jamani
Kuna watu wana wake zao hawajui hata kupika chai. Ila huwa sjui kwa nini bado wanaishi na hao wanawake.
Japo kwangu mimi kama hujui kupika siwez kukuoa, siwez kuwa hata bf wako wa muda tu. i know baadhi ya wanawake ambao hawajui kupika na hawaja wahi achwa.
Wanajifunza kukata viuno,hawana unyenyekevu,hawana lugha ya kubembeleza,hawajali bajeti ya familia!!!!!!Hakuna kasoro kubwa kwa mwanamke kama kutokujua kupika.
Kuna mambo matatu kila mwanaume angependa kuyaona kwa mke wake.
1 upishi unaoridhisha
2 usafi
3 mapenzi ya kweli
Na bahati nzuri vitu vyote hivyo ni tabia za kijifunza lakini wadada wa siku hizi hayo mengi hawayawezi
Ulemavu na kutokujua kupika ni vitu viwili tofauti kabisa kutokujua kupika kwa mwanamke wakati ana viungo vyote vya mwili ni ulemavu wa akili mkuu.Rafiki suala la mke na mapishi ni vitu viwili tofauti ingawa ni kama vinategemea lakini mke anaweza kuwa hana hata mikono na macho lakini bado akawa mke bora kwa jamaa na wewe mwenye mke wa kila kitu, ndio mkaachana jua la saa saba
Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
Kwahiyo mama Sabrina kupika ni ufanyakazi!unamsaidia nini sasa,kujenga?Sisi sio wafanyakazi eenu ni wasaidizi wenu
Kila siku utarudi na parcel ya kiepe nyumbani!si utumwa huo!Wanaume tunatofutiana mahitaji jamani
Kuna watu wana wake zao hawajui hata kupika chai. Ila huwa sjui kwa nini bado wanaishi na hao wanawake.
Japo kwangu mimi kama hujui kupika siwez kukuoa, siwez kuwa hata bf wako wa muda tu. i know baadhi ya wanawake ambao hawajui kupika na hawaja wahi achwa.
Congrats.I give you that, na point yangu ni kuwa tusilazimishe kuwa wanawake wote wajue kupika kwani kuna wanaume kama nyinyi mna accept.
Dhana ya mwanamke si mfanyakazi haingii kwenye kupika kwa sababu, kupika ni sanaa siyo mzigo. Kupika ni symbol of appriciation ni symbol of affection ni sehem ya romance. Wakati wewe unaona kupika ni symbol of oppression mimi nakwambia kupika ni symbol of power, mwanamke anayepika kupika ni advantage.
Na kwetu sisi wengine(i believe majorty) ni priority wanawake wajue kupika.
Kupika hakufananishwi na mapungufu mengine ya kibaiolojia. Kupika ni lack of know how. Ni ukosefu wa kujua tuu.
Siyo tu appreciation ameleta mchele ndani lazima ungeuzwe wali,akileta unga wa ngano anahitaji ugeuzwe chapati,mandazi nk. House girl akipika sana mara anapewa promotion halafu mtu ana drink poison.Kumpikia mwanaume ni alama ya appreciation.
Sasa wewe jifanye unaleta kiburi atapikiwa na michepuko
Kumbuka jukumu namba moja la mwanamke wa kiafrika ni kupika ndani hata wewe japokuwa umepika kuanzia utotoni mpaka Leo ukioa ama umeoa hata mkeo hata kubali( kama anakujali) utapakae masizi jikoni ilihali yeye aangalia muvi sebuleniNimetoa mfano wa kibiologia ili angalau kuonesha kuna madhaifu makubwa kuliko hayo na yanavumilika, nakubaliana na wewe kabisa kabisa kuwa kupika ni sehem ya romance lakini tukienda mbali zaid, kupika ni sehem ya wajibu wa kimsingi kwa mwanamke hasa wa kiafrika, na kutokujua kupika ni kama fedheha kwa pande zote mbili, lakini mtazamo wangu ni kuwa... kila mtu anaudhaifu wake... hivyo kupika inaweza kuwa ni baadhi ya udhaifu wake hivyo wewe kama mwanaume isiwekigezo cha kumpigia au sababu ya kumuacha
Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app