Kwa wadada wanaosaka ndoa

Kwa wadada wanaosaka ndoa

Sisi sio wafanyakazi eenu ni wasaidizi wenu
Mkumbushe... hatuoi wapishi bali. Mwanamke ni mtu mwenye nguvu ya kuweza kuleta mabadiliko ya maisha ya mwanaume, inaweza kuwa Chanya au hasi.. kama anataka mpishi aende Chuo cha HOTEL MANAGEMENT akaongee na mkuu wa Chuo ili ampatie mwanafunzi bora wa mapishi ndio atamfaaa

Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
 
Wanaume tunatofutiana mahitaji jamani
Kuna watu wana wake zao hawajui hata kupika chai. Ila huwa sjui kwa nini bado wanaishi na hao wanawake.
Japo kwangu mimi kama hujui kupika siwez kukuoa, siwez kuwa hata bf wako wa muda tu. i know baadhi ya wanawake ambao hawajui kupika na hawaja wahi achwa.
Rafiki suala la mke na mapishi ni vitu viwili tofauti ingawa ni kama vinategemea lakini mke anaweza kuwa hana hata mikono na macho lakini bado akawa mke bora kwa jamaa na wewe mwenye mke wa kila kitu, ndio mkaachana jua la saa saba

Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
 
Rafiki suala la mke na mapishi ni vitu viwili tofauti ingawa ni kama vinategemea lakini mke anaweza kuwa hana hata mikono na macho lakini bado akawa mke bora kwa jamaa na wewe mwenye mke wa kila kitu, ndio mkaachana jua la saa saba

Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
Nime ielewa point yako
Lakini kuna tofauti kati ya mlemavu na asiye jua kupika lakini hana ulemavu wowote.
Nakubali kuna watu ambao wanaishi na wake zao ambao hawajui kupika. Wanaume tunatofautiana mahitaji
 
Kuna kitu baba yako amekiona ambacho ni zaidi ya kupika, anaweza akawa hajui kupika lakini anakisimati cha pesa, hivyo akaweka dada wa kazi na maisha yakaendelea

Sent from my SM-G360H using JamiiForums mobile app
May be! Au kakubaliana tu na hali halisi
Hakuna kitu kizuri kama kukubalina na jambo usilo weza kulibadilisha.
 
Nime ielewa point yako
Lakini kuna tofauti kati ya mlemavu na asiye jua kupika lakini hana ulemavu wowote.
Nakubali kuna watu ambao wanaishi na wake zao ambao hawajui kupika. Wanaume tunatofautiana mahitaji
Kweli tunatofautiana hasa mitazamo, mimi naamini mwanamke ni mtu mwenye nguvu ya kubadilisha maisha yangu inaweza kuwa hasi au chanya, kwa sababu hiyo akili yangu naimanisha kuwa mke ni zaidi ya kupika, ni zaidi ya kufua nguo ni zaidi.... na sio mfanyakazi wangu hivyo mambo mengine nakubali kuwa ni ya msingi lakini sitaruhusu yawe dosari kwetu
Watu wanaishi na vikojozi miaka na maisha yanasonga, sebuse kupika tu, hali nimeanza kupika nikiwa na miaka 8 leo nachezea 30s....

I give you that, na point yangu ni kuwa tusilazimishe kuwa wanawake wote wajue kupika kwani kuna wanaume kama nyinyi mna accept.
Dhana ya mwanamke si mfanyakazi haingii kwenye kupika kwa sababu, kupika ni sanaa siyo mzigo. Kupika ni symbol of appriciation ni symbol of affection ni sehem ya romance. Wakati wewe unaona kupika ni symbol of oppression mimi nakwambia kupika ni symbol of power, mwanamke anayepika kupika ni advantage.
Na kwetu sisi wengine(i believe majorty) ni priority wanawake wajue kupika.

Kupika hakufananishwi na mapungufu mengine ya kibaiolojia. Kupika ni lack of know how. Ni ukosefu wa kujua tuu.
 
Nimetoa mfano wa kibiologia ili angalau kuonesha kuna madhaifu makubwa kuliko hayo na yanavumilika, nakubaliana na wewe kabisa kabisa kuwa kupika ni sehem ya romance lakini tukienda mbali zaid, kupika ni sehem ya wajibu wa kimsingi kwa mwanamke hasa wa kiafrika, na kutokujua kupika ni kama fedheha kwa pande zote mbili, lakini mtazamo wangu ni kuwa... kila mtu anaudhaifu wake... hivyo kupika inaweza kuwa ni baadhi ya udhaifu wake hivyo wewe kama mwanaume isiwekigezo cha kumpigia au sababu ya kumuacha

A very thoughtful point hapo nimekuelewa, sema tu ukimwacha mwanamke kwa ulemavu wake ni ubaguzi. ukimwacha kwa kuto kujua kupika ni uchaguzi.
Pia wanaume wengi wanakubali hilo ikiwa mwanamke anafanya kazi zinazo ingiza kipato na anakuwa busy sanaa. Ndio tradeoffs za kuoa wanawake wa aina hiyo, wanaona kwa sababu ana reason ya kuto pika hata kama angekuwa ana jua ni bora aachwe muendelee kula pesa anazo ingiza.
 
Haya... ila mimi nimeona wanawake walio bussy sana lakini chakula cha mmewe lazima akipike mwenye hasa cha usiku.. xo ubussy sio sababu ya kutokupika ila ni mwenyewe... kumbuka hata mama Samia huwa anapigia mmewe magoti kwa kuonesha upendo hiyo inamaana hata kupika anapika lakini haimaanishi kuwa hayuko bussy
 
Nilijua lazima hii kitu ya mama Samia itakuja. Its obvious she is the Vice President what does VP do anyway? She is not that much busy bhana.

Nakupa mfano kuna sista namfaham anafanya kazi kila sku isipo kuwa jumatatu tu kwa kila wiki. Ambapo hiyo juma tatu huwa anaenda kwenye miradi yake ya biashara. Huwa hampikii mumewe hata sku moja.the man is okey with it.

Kuna kitu umeongea kizuri sana nilikuelewa. anaweza akawa hajui kupika ila ni msafi, anajali, anajua kulea, anapenda ndugu ana kushairi vzuri etc. Yeah some people will let cooking slide. Nimekusoma fresh tuu
 
Nilijua lazima hii kitu ya mama Samia itakuja. Its obvious she is the Vice President what does VP do anyway? She is not that much busy bhana.

Nakupa mfano kuna sista namfaham anafanya kazi kila sku isipo kuwa jumatatu tu kwa kima wiki. Ambayo huwa anaenda kwenye miradi yake ya biashara. Huwa hampikii mumewe hata sku moja.the man is okey with it.

Kuna kitu umeongea kizuri sana nilikuelewa. anaweza akawa hajui kupika ila ni msafi, anajali, anajua kulea, anapenda ndugu ana kushairi vzuri etc. Yeah some people will let cooking slide. Nimekusoma fresh tuu
Duh.. nafikiri wote tuko lindo leo. tunavuta masaa tu!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom