Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,043
- 7,477
hahah! ulivyo na uhakika........Unaongea na Professional hapa. shauri yako.vyovyote apendavyo asali wa moyo wangu,akipenda nibaki mndeny poa,akipenda tuweke watu kule mndeny wasimamie wadudu poa
Yeye ana maana sana kwangu,kwa jinsi nilivyomsubiri,chochote mi ntafanya................
akikaa A-town miezi saba jua ameniacha na malaria ya miezi miwili,by the time anarudi......university student to be amewasili.....upo?