Bigirita
Platinum Member
- Feb 12, 2007
- 16,043
- 7,477
Unajua nitakuwa nafanya kwa ajili yako...........sitaki uwe disapointed bana! TF ni dogo wangu bana.biggie,don waste yo time,jamaa yupo fit sanaa.
Unajua nitakuwa nafanya kwa ajili yako...........sitaki uwe disapointed bana! TF ni dogo wangu bana.biggie,don waste yo time,jamaa yupo fit sanaa.
wewe ni ndaza kapime ukimwi kabla ya kumpoteza masai inelekea vimidola vyake vimekupagawisha wakati ulikuwa huko uswazi na jamaa kibao sasa umeona mwezi na jua unashindwa kuchagua nikipi kinachofaa kwa maisha yako!!huu nimtazamo wangu kwakuwa nipo kwenye jamiiforums my great network!!
huyo ndo ubavu wangu atacho kihisi mie kwangu agizo
hahahahahaa!!!!! weeeee! wanafuga hao?Mimi ndo nazoa,wajibu wangu huo, shangazi yangu mngoni alinifundisha..................l.o.l
unajua nitakuwa nafanya kwa ajili yako...........sitaki uwe disapointed bana! Tf ni dogo wangu bana.
Hater's hang yourself, haina haja ya kuwapanga kwa list ndefu,subira tu jamani na kumuomba mola
Nimesubiri mie,nimepata riziki yangu mwenyewe ikiwa na mimi ikitoka sasa hapo sijui...........lol
Unajua nitakuwa nafanya kwa ajili yako...........sitaki uwe disapointed bana! TF ni dogo wangu bana.
hahahahahaa!!!!! weeeee! wanafuga hao?
basi nina uhakika Hashy atakuacha mndeny na mandolini yeye aende zake Atown kutafuta mipesa..........mm nitakuwa nakusaidia kutengeneza mandolini coz imechoka sana........mtu anakaa town 7months hajarudi unafikiri itakuwaje?
hater's hang yourself, haina haja ya kuwapanga kwa list ndefu,subira tu jamani na kumuomba mola
nimesubiri mie,nimepata riziki yangu mwenyewe ikiwa na mimi ikitoka sasa hapo sijui...........lol
shemeji shemeji...........dedication!
I hope you know that song
haya bana,usisahau kututumia kadi plz.
Professional....haswaaaa!!Shemeji shemeji...........dedication!
I hope you know that song
taarabu kitu gani bana......kitu cha segere ndo kinafaa kwenye hilo unalotaka kufanya.nitakuimbia taaarabu wewe!l.o.l
Professional....haswaaaa!!
kutokana na maombi ya wengi humu jf itakuwa live tbc one l.o.l
hahahahahaa!!!!! weeeee! wanafuga hao?
basi nina uhakika Hashy atakuacha mndeny na mandolini yeye aende zake Atown kutafuta mipesa..........mm nitakuwa nakusaidia kutengeneza mandolini coz imechoka sana........mtu anakaa town 7months hajarudi unafikiri itakuwaje?
vyovyote apendavyo asali wa moyo wangu,akipenda nibaki mndeny poa,akipenda tuweke watu kule mndeny wasimamie wadudu poa
Yeye ana maana sana kwangu,kwa jinsi nilivyomsubiri,chochote mi ntafanya................
akikaa A-town miezi saba jua ameniacha na malaria ya miezi miwili,by the time anarudi......university student to be amewasili.....upo?
wow! Cant wait to see! Halafu waalikwa no kutoa michango eh! Manake hamkawii tena mnatuwekea na minimum amount na bonge la deadline tena bolded kuonyesha msisitizo...lol
vyovyote apendavyo asali wa moyo wangu,akipenda nibaki mndeny poa,akipenda tuweke watu kule mndeny wasimamie wadudu poa
yeye ana maana sana kwangu,kwa jinsi nilivyomsubiri,chochote mi ntafanya................
Akikaa a-town miezi saba jua ameniacha na malaria ya miezi miwili,by the time anarudi......university student to be amewasili.....upo?
michango ya kazi gani.....siku hiyo naangusha wadudu wote bandani....ka a/c kangu ka uswis nakasafisha kote we unazani kuna siku nyingine gani muhimu kama hii......maishani sherehe tatu tu kuzaliwa...kuoa....kifo..l.o.l