Nailyne
JF-Expert Member
- Dec 11, 2010
- 350
- 113
ukweli ndio huo wadada hatutakubali kuwa na mmoja, hata akiwa mmoja lazma wengine wawe standby ili kikiwaka upate pa kuhemea fasta
mhhhh moja jumlisha moja ngapi??????? napita tuuuu marytina al the best