TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,695
- 2,449
tatiana mdogo wako huyo hebu ongea nae mpe ushauri kutoka kwa dada zake kama nyie
well TF,mi bana mambo ya pesa huwa siangilii,kama nimempenda mtu basi hata kama ni maskini ni poa tu,pesa kitu gani bwana si zinatafutwa tu. unaweza kimbilia pesa then ukaishi kkama upo jela for the rest of yo life,pia utaumia sana maana utakua ni mtu wa kujuta tu.
kingine namshaur aache kupanga wanaume foleni si tabia nzuri kabisa kwanza anahatarisha maisha yake na ya wenzie,pia anajiongezea stress tu kichwani mwake.