Kwa wadada na wamama tu

Achana na hayo maviungo mwaya. Afu sijui kwanini wanawake hatupendi kuambiana ukweli, hayo maviungo nikujitafutia tu matatizo na kuharibu uasili wa kwa bibi.

Oo sijui shabu, malimao, misk, carolight, mdalasini humo humo... Ipo siku atawaka mtu moto lol..

Fanya mazoez kama walivyoshauri wengine juu, na kusafisha maji baridi safi yanatosha. All the best

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
kegel, kegel, kegel. Wenzio we are still virgins take it from me. Mwanzo utaiona ngumu, lakini ukizoea unaweza kukata mkojo kati ukaenda kuchukua maji jikoni ukarudi kumalizia.

Wakati unakojoa, kata mkojo kila baada ya sekunde kadhaa, hold it kwa sekunde 5 then achia. Fanya hivyo hadi mwisho.

Ukiwa umekaa tu bored, working ama una mtu anakustress na hiwezi chomoka, fanya hii exercise. Bana muscles za ukeni na achia kila baada yavsekunde 5. Kumbuka kuhema.

kama unafistula itakuwaje?
 
Usijaribu la sivyo utasogeza period yako mbele na ukija kuipata tena mpk aftr 3-5days,it will depend on how much u use..hlf itatoka nyingi sana kwa siku nyingi wewe tumia dawa moja inaitwa SHABU{ipo km chumvi ya mawe}unaloeka hlf unanawia ingawa huwa nasikia ukiitumia kwa muda mrefu bila kuduuu waweza kurudisha bikra.

Mmm .. Za kwako changanya na za mbayu wayu!!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Si kweli kuwa maji maji ya limao yanabana uke...
Fanya mazoezi ya Kegel utapata matokeo chanya na kurudia ukigoli wako...

#Am tryin to save your thread from wachakachuzi wasiojua maana ya MMU
kwahiyo haya mazoezi unatakiwa kufanya baada ya kipindi gani ukiwa umetoka kujifungua???.......
 
kwahiyo haya mazoezi unatakiwa kufanya baada ya kipindi gani ukiwa umetoka kujifungua???.......

Mwanamke yoyote ambaye anahisi njia yake ya uke imeongezeka ukubwa huweza kufanya hili zoezi si lazima awe mama aliyetoka kujifungua.
Zoezi la Kegel huweza kufanywa pindi tu baada ya kujifungua, lakini wanawake wengi hupenda kupumzika kwanza kabla ya kufanya Kegel. Binafsi pia nashauri hivyo, kupumzika baada ya uzazi ni muhimu.
 
Oooops. Dont try this one ooh! Shabu ni chlorinating agent jamani, mtajiua bureee.
Usijaribu la sivyo utasogeza period yako mbele na ukija kuipata tena mpk aftr 3-5days,it will depend on how much u use..hlf itatoka nyingi sana kwa siku nyingi wewe tumia dawa moja inaitwa SHABU{ipo km chumvi ya mawe}unaloeka hlf unanawia ingawa huwa nasikia ukiitumia kwa muda mrefu bila kuduuu waweza kurudisha bikra.

kwa nini hautaki iwe tight?
kwanini unataka iwe tight
 
Hata kama hujazaa fanya kegel kila siku. Sio tu kwa ajili ya kutighten maumbile, lakini inaimarisha na muscles na kusaidia kupunguza matatizo ya kutokwa mkojo uzeeni. Na isitoshe inaongeza sensitivity ya misuli ya uke. Ukisikia kilele kinakuwa sio cha kichuguu, ni mt kilimanjaro.
kwahiyo haya mazoezi unatakiwa kufanya baada ya kipindi gani ukiwa umetoka kujifungua???.......
 
King'asti na wengine walionipa ushauri wa kufanya mazoezi Kegel nawashukuru sana. Zoezi linaendelea vyema na ninaanza kuzoea.

Swali jingine nitajuaje kama zoezi limefanikiwa? yaan kumeanza kuwa tight?
 
Last edited by a moderator:
ndim na limao zinarudisha u-tight,,,hii kwa Tabora ipo though huwa ni siri sana, na sio ndim tu wanachanganya na vitu vingine
 
Back
Top Bottom