Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,604
No comments.
Nimekusoma mkuu.
No comments.
Zitto siku zote ni mropokaji. Angekuwa ana vielelezo angeviweka hadharani. Nikiri kwamba tulikosea sana kumtetea Zitto wakati ule anasurubiwa na MboweWe na waandishi wa habari uliowasikia wakisema hivo, mmekurupuka na sioni sababu ya kumshutumu ZITTO kabla ya ya kumhoji kuhusu matamko/kauli zake.
Wakati mwingine ukute anajiamini na kauli zake, oia ukute ana vielelezo kama ushahidi wake.
[HASHTAG]#SUBIRA[/HASHTAG] YAVUTA KHERI
Sijawahi kuwa fisadi na sina sababu ya kuwa fisadi. Sina mwanya pia wa kufanya ufisadiYawezekana hata wewe ni fisadi ndio maana unalalamika coz wewe unaonaje hali ya sasa na zamani hapo mwanzo mfano unakuta wewe binafsi unaweza ukalalamika hali ni ngumu lakini mwenzio hapa jirani anawaagizia bia wenzake saa hizi ni nani anathubutu kufanya hivi pia tayari ndege moja umeletewa bado unalia je Rais angetumia hiyo ela kwa maslai binafsi ingekuaje si ungeongea mpaka.
Unataka aingilie kati then mseme kuwa Rais ni dikteta? Mahakama yeye, Bunge yeye na kila kitu yeye? Hamna maana ninyi wapinzani
Unatakiwa udokeze ukweli ukioonesha ZZK alidandanya kwa kuandika thamani halisi tofauti na zile alizotoa yeye ukifanya hivyo utakuwa unajenga hoja madhubuti na tutakuelewa.Awali alizusha kuwa Ndege Mpya zilizonunuliwa na Serikali kwa ajili ya ATCL ni Mtumba kutoka shirika la Ndege la Kazakhstan. Tena Zitto akaenda mbali kwa kusema kuwa ndege hizo zilipaswa kununuliwa kwa dola za kimarekani milioni 9 kwa kila moja lakini Serikali imenunua kwa Dola milioni 61. Waandishi wa habari waliopata fursa ya kujionea ndege ya kwanza iliyowasili hakika wamestaajabu sana baada ya kubaini kuwa Zitto Kabwe kasema uongo
kwani ubovu ama ubora wa ndege unaangaliwa kwa macho mkuu? hii nayo ni namna mpya ya kufikiri naona haaaa! kama ulienda na inspector wa ndege akathibitisha sio mtumba tiutakusikiliza ila kwa vile hukufanya hivyo bali kwa kuangalia kwa macho, hoja ya zitto bado ina nguvu na kubakia pale pale!Wadau, amani iwe kwenu.
Kwanza nioneshe masikitiko yangu kwa kijana mwenzetu, Zitto Kabwe ambaye hapo awali tulimuamini kwa kujenga hoja madhubuti kwenye mapambano dhidi ya ufisadi. Hakika mara kadhaa Zitto Kabwe aliibuka shujaa na hoja zake zilikuwa na mashiko.
Ila kwa sasa sijaelewa nini kimemkumba ndugu Zitto Kabwe. Kwa sasa amegeuka kuwa mtetezi wa Ufisadi na Mafisadi. Nimejiuliza sana nini kinaendelea nyuma ya pazia.
Awali alizusha kuwa Ndege Mpya zilizonunuliwa na Serikali kwa ajili ya ATCL ni Mtumba kutoka shirika la Ndege la Kazakhstan. Tena Zitto akaenda mbali kwa kusema kuwa ndege hizo zilipaswa kununuliwa kwa dola za kimarekani milioni 9 kwa kila moja lakini Serikali imenunua kwa Dola milioni 61. Waandishi wa habari waliopata fursa ya kujionea ndege ya kwanza iliyowasili hakika wamestaajabu sana baada ya kubaini kuwa Zitto Kabwe kasema uongo. Baadhi ya waandishi ambao nilikuwa nao karibu wamehoji sababu hasa ya Zitto Kabwe kutunga uongo ule.
Leo amekuja na kihoja kingine kuwa eti Habinder Seth, mmiliki wa IPTL aligharamia mkutano wa CCM uliomchagua Rais Magufuli kuwa Mwenyekiti wa chama hicho na ndio maana Rais hachukui hatua dhidi yake. Lengo la Zitto Kabwe kutunga uongo huu ni kumpaka matope Rais na kumhusisha na matendo ya kifisadi ambayo hana.
Hapa ndipo ninapokumbuka maneno ya Zitto Kabwe kuwa Usimwamini Mwanasiasa. Kwa hili nimemdharau sana Zitto Kabwe
ZZK ana matatizo ya ungonjwa wa chama kile kilichokufa cha chandomo. Kila kukicha anatafuta kiki ili atoke, ila bahati mbaya kila akiibuka na jambo ni la uongo na unafikiWadau, amani iwe kwenu.
Kwanza nioneshe masikitiko yangu kwa kijana mwenzetu, Zitto Kabwe ambaye hapo awali tulimuamini kwa kujenga hoja madhubuti kwenye mapambano dhidi ya ufisadi. Hakika mara kadhaa Zitto Kabwe aliibuka shujaa na hoja zake zilikuwa na mashiko.
Ila kwa sasa sijaelewa nini kimemkumba ndugu Zitto Kabwe. Kwa sasa amegeuka kuwa mtetezi wa Ufisadi na Mafisadi. Nimejiuliza sana nini kinaendelea nyuma ya pazia.
Awali alizusha kuwa Ndege Mpya zilizonunuliwa na Serikali kwa ajili ya ATCL ni Mtumba kutoka shirika la Ndege la Kazakhstan. Tena Zitto akaenda mbali kwa kusema kuwa ndege hizo zilipaswa kununuliwa kwa dola za kimarekani milioni 9 kwa kila moja lakini Serikali imenunua kwa Dola milioni 61. Waandishi wa habari waliopata fursa ya kujionea ndege ya kwanza iliyowasili hakika wamestaajabu sana baada ya kubaini kuwa Zitto Kabwe kasema uongo. Baadhi ya waandishi ambao nilikuwa nao karibu wamehoji sababu hasa ya Zitto Kabwe kutunga uongo ule.
Leo amekuja na kihoja kingine kuwa eti Habinder Seth, mmiliki wa IPTL aligharamia mkutano wa CCM uliomchagua Rais Magufuli kuwa Mwenyekiti wa chama hicho na ndio maana Rais hachukui hatua dhidi yake. Lengo la Zitto Kabwe kutunga uongo huu ni kumpaka matope Rais na kumhusisha na matendo ya kifisadi ambayo hana.
Hapa ndipo ninapokumbuka maneno ya Zitto Kabwe kuwa Usimwamini Mwanasiasa. Kwa hili nimemdharau sana Zitto Kabwe
Upinzan wa tz hovyo tu, kwanini wasfate mbinu aluowaambia prof mkumbo?wabafl namna ya kufanya siasa hii ya sahz n ya zaman na haiwez kuzaa matunda
Kweli mmekunywa maji ya Bendera ya kijani hata hamuoni yaani nyeupe mnasema nyeusi poleni iko siku mtajua aliyeshikwa na aliyeshika naniSijapata kuona Oposition wanakuwa kwenye wakati mgumu kama utawala huu wa Magufuli. Hakika kawashika kwenye nyeti
Umewahii sana suburi kidogo bwanamkubwa ajibu au ataa atoe tamko na wewe ndio uchukue upande,je ikitokea akachukua na kufanyia kazi ushauri Wa Zito utakuwa Kundi gani !!??Wanaumbuka mchana kweupe
Waandishi wa habari ni wataalamu wa kugundua upya ama uchakavu wa ndege siku hizi? au wanajua bei ya ndege siku hizi? acha kupayuka payuka hovyo hovyo humu sio kila mtu ni mjinga kama unavyofikiriaWadau, amani iwe kwenu.
Kwanza nioneshe masikitiko yangu kwa kijana mwenzetu, Zitto Kabwe ambaye hapo awali tulimuamini kwa kujenga hoja madhubuti kwenye mapambano dhidi ya ufisadi. Hakika mara kadhaa Zitto Kabwe aliibuka shujaa na hoja zake zilikuwa na mashiko.
Ila kwa sasa sijaelewa nini kimemkumba ndugu Zitto Kabwe. Kwa sasa amegeuka kuwa mtetezi wa Ufisadi na Mafisadi. Nimejiuliza sana nini kinaendelea nyuma ya pazia.
Awali alizusha kuwa Ndege Mpya zilizonunuliwa na Serikali kwa ajili ya ATCL ni Mtumba kutoka shirika la Ndege la Kazakhstan. Tena Zitto akaenda mbali kwa kusema kuwa ndege hizo zilipaswa kununuliwa kwa dola za kimarekani milioni 9 kwa kila moja lakini Serikali imenunua kwa Dola milioni 61. Waandishi wa habari waliopata fursa ya kujionea ndege ya kwanza iliyowasili hakika wamestaajabu sana baada ya kubaini kuwa Zitto Kabwe kasema uongo. Baadhi ya waandishi ambao nilikuwa nao karibu wamehoji sababu hasa ya Zitto Kabwe kutunga uongo ule.
Leo amekuja na kihoja kingine kuwa eti Habinder Seth, mmiliki wa IPTL aligharamia mkutano wa CCM uliomchagua Rais Magufuli kuwa Mwenyekiti wa chama hicho na ndio maana Rais hachukui hatua dhidi yake. Lengo la Zitto Kabwe kutunga uongo huu ni kumpaka matope Rais na kumhusisha na matendo ya kifisadi ambayo hana.
Hapa ndipo ninapokumbuka maneno ya Zitto Kabwe kuwa Usimwamini Mwanasiasa. Kwa hili nimemdharau sana Zitto Kabwe
Si mlimshangilia Zitto na ACT yake mkijua wako upande wenu. Sasa ndo mtajua rangi halisi ya Zitto. Atamshambulia baba Jesca mpaka aombe po. Mtajuta kuwafahamu Waha wa Kigoma. Mimi binafsi namwamini Zitto kwamba Magufuli katuletea mtumba toka Kazakhstan na sio brand new toka Canada.