Kwa uongo huu unaosambaza Zitto Kabwe dhidi ya Rais, hakika inadhihirisha kuwa umetekwa na Mafisadi

Hata wewe Lizibon ni fala tu, kwani waandishi wa habari wana utaalamu wa kutofautisha ndege re-furbished na ndege mpya?. Pia kuna ajabu gani kwa mafisadi kugharamia pesa za mkutano wa CCM kama siku ile tuliona pesa zimekamatwa kwenye mabegi kwenye uchaguzi?
msamehe Hawa ni wale mpaka wanakufuta viatu vya wengine NA mashahati yao ilimradi tu Wapo hapo walipo hata wakitukanwa Wapo tu
 
Kama ni mzushi mpelekeni mahakamani kwa kumchonganisha raisi na wananchi au kesi za namna hii lumumba zimeisha?
 
Kwanza yani mi hata niviite vindege kwanza vya hovyo mi nashangaa kuona baadhi ya watanzania eti wanafurahia hizo ndege mbili duh! Kweli huu ni msiba Atleast kwa sasa tungekuwa na ndege 20, Hivi kweli Nchi yetu ina ndege mbili jaman hebu tuweni serious kwanza hata mataifa ya wenzatu wanashangaa kwa Nchi kama hii
Haupo serious, Bro
 
Back
Top Bottom