Kwa ukatili ulichofanywa na polisi hadharani, ninamashaka kama Waliotekwa wanaweza wakawa bado wapo na roho zao

Criss

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
1,944
Reaction score
3,090
Ule ukatili uliyofanywa na police hadharani tena mchana wa jua kali umenipa tafakuri nzito sana.

Ule ukatili wao umesababisha hadi niwaze utimamu wa afya za akili za wahusika.

Ule ukatili wao umefanya niwaze utimamu wa akili wa aliyewatuma.

Ule ukatili wao umefanya niwaze majukumu ya msingi ya kitengo walichotokea.

Lakini mwisho na kubwa kuliko yote ni hatima za wale waliyokuwa wakiwateka na kuondoka nao huwa wanatreatwaje huko waliko .

Wale jamaa wanaonekana washapagawa na damu .

Kunaclip kadhaa nilifanikiwa kuziona ambazo zilikuwa zikiwaonyesha kwa ufasaha kabisa ,aisee jamaa walikuwa wanatetemeka kabisa usoni ,kama niwatu waliyotumia vileo au madawa yakuwapunguzia utimamu .

Wakuu hatupo salama,tusipoamua kusimama na kujiongezea thamani kwa kusema imetosha ,wazee tutaisha .

Ikitokea umetekwa na wale washkaji jua umeenda .

Tumshukuru aliyempa Sa100 wazo la kuratibu utekaji , siyo muda tutakutana na majibu ya kazi zao zilizotukuka .

CCM haina safari trust me .
 
Japo polisi nao wana roho mbaya, aliyewaamuru yaani Samia ndiye wa kupima na kuamua kujua kama hawa watu wako hai au weshamalizwa. Je, nani ataishi milele?
 
Nina uhakika hata washauri wa Samia wa siasa wameshtushwa.

Mfano Rajabu Luhwavi ni retired army officer ambae kapigana Kagera.

Wanajeshi wengi wanapitia PSTD kimya-kimya hasa Africa; hizo images itakuwa hata yeye aamini.

Samia ni shetani.

Kama wameweza fanya hivi hadharani, chances are waliotekwa hawawezi kuwa hai.

Hii mijamaa ni miuaji
 
Ule ukatili uliyofanywa na police hadharani tena mchana wa jua kali umenipa tafakuri nzito sana.

Ule ukatili wao umesababisha hadi niwaze utimamu wa afya za akili za wahusika.

Ule ukatili wao umefanya niwaze utimamu wa akili wa aliyewatuma.

Ule ukatili wao umefanya niwaze majukumu ya msingi ya kitengo walichotokea.

Lakini mwisho na kubwa kuliko yote ni hatima za wale waliyokuwa wakiwateka na kuondoka nao huwa wanatreatwaje huko waliko .

Wale jamaa wanaonekana washapagawa na damu .

Kunaclip kadhaa nilifanikiwa kuziona ambazo zilikuwa zikiwaonyesha kwa ufasaha kabisa ,aisee jamaa walikuwa wanatetemeka kabisa usoni ,kama niwatu waliyotumia vileo au madawa yakuwapunguzia utimamu .

Wakuu hatupo salama,tusipoamua kusimama na kujiongezea thamani kwa kusema imetosha ,wazee tutaisha .

Ikitokea umetekwa na wale washkaji jua umeenda .

Tumshukuru aliyempa Sa100 wazo la kuratibu utekaji , siyo muda tutakutana na majibu ya kazi zao zilizotukuka .

CCM haina safari trust me .
Mkuu,

Wale waliovaa kiraia ni wauaji si Polisi.
 
Dah!

Inauma sana kwa kweli.

Na so called jeshi la wananchi lipo tu linaachia haya mauaji yaendelee.

I believe in fighting back! Heri nife kishujaa kuliko kinyonge.

We have the numbers. Hawawezi kutuua wote. Tuko wengi sana.

Man!
 
Kunamambo hata tu akili za kawaida zinagoma kuyaelewa .

Ningelikuwa mimi ndiye Rais,siku ile ya tarehe 29 October baada ya kuona kweli watu wametoka na jeshi limeamua kuwasindikiza kitu ambacho ningelifanya ningeliwashangaza raia .

Ningeliongea na wakuu wavikosi watoe oda ya kuongeza magari ya jeshi mitaani .

ningeliondoa police wote barabarani.
ningeliwapa jukumu wanajeshi wawaongoze na kuwasimamia raia wazunguke nao siku nzima huku wakiwapa sharti moja tu , wasifanye uharibifu wowote na kila wakishafika kwenye kituo kimoja ningeliweka mtu wa kuyapokea maandamano yao ,ningeliwaambia maandamano yao yawe na mabango na wakifikra kwa anaewapokea wampe karatasi waliyoandika mahitaji yao .

Ikifika jioni wakalale na kesho wawaambie tutaendelea 🤣🤣

Ningelihakikisha nawazungusha hivyo hivyo wiki nzima huku tume ikiendelea na utaratibu wake na kwenye ushindi tume ingeliweka hata 52% ingebalance siyo hadi 98% eeh! 🤣🤣

Bina kusema uwongo hapo tungelijiongezea heshima sana kimataifa kwa kuwaonyesha Tanzania tunademokrasia kabambe sana .

Kimsingi naamini tungelifanikiwa sana kudhibiti uharifu kwa maana jukumu la kuzisimamia lingelikuwa kwao wenyewe huku wakiongozwa na jeshi.

Lakini pia uwepo wa wao kubakia na jeshi tu kungeliwaongezea uwoga wa ndani

Ile game ilikuwa iishe droo .

Maana Rais angelipatikana na waandamanaji wangelikuwa wamepewa haki zao tena kisstaarabu .

Lakini kwakuwa Mama ni failure washauri ndiyo kabisa uchawa mwingi so dah!
 
Mkuu tusitiane moyo then siku ya tukio mnapita hivii 🤣

Mimi ile siku ya kwanza mchana tulikiwasha sana bahati mbaya ile siku mchana wake nikawa na safari na ticket nilikuwa nishakata, japo kwa mzuka niliyokuwa nao nilikuwa naondoka huku moyo unaniuma kwanini naondoka nawaacha wapambanaji wapo kitaa wanakinukisha .

Nilivyokuja kusikia kumbe jamaa waliwafuata watu home nikasema kwa akili zangu aisee lazima namimi ningelikufa nao .

Mimi ningelikuwa nawadonoa kisnaiper tu ,na vile walivyokuwa kama wamelewalewa tu ,nasema , siku ile Samia angelipata hasara ya kuwalipa watu wa watu japo najua wale niwabongo wenzetu.
 
Mkuu tusitiane moyo then siku ya tukio mnapita hivii 🤣

Mimi ile siku ya kwanza nilikiwasha mchana ,tulikimbiza sana then mchana nikawa na safari na ticket nilikuwa nishakata yakudondoka zangu Ramakhoase Pretoria, japo kwa mzuka niliyokuwa nao nilikuwa naondoka huku moyo unaniuma kwanini naondoka wmnawaacha wapambanaji wapo ground.

Nilivyokuja kusikia kumbe jamaa waliwafuata watu home nikasema kwa akili zangu aisee lazima namimi ningelikufa nao .

Mimi ningelikuwa nawadonoa kisnaiper tu ,na vile walivyokuwa kama wamelewalewa tu vile nasema , wale tungelelewana.
Sasa kama watu wanaingia hadi majumbani mwa watu, watu wana option gani zaidi ya ku fight back vyovyote vile wawezavyo?

I’m just being realistic.

Mimi bana nakataa kufa kinyonge huku nimejikunyata.

I’ll try to fight back anyway I can. Kama nikiuliwa, so be it. Ila simwachi mtu aniue kinyonge.

The only way I won’t fight back ni labda mtu anidungue toka umbali flani.

Other than that, I’ll defend myself.

Hivi, kwani hujawahi kuona Wapalestina kule Gaza na West Bank ambavyo huwa wanapambana na IDF?

IDF wanarusha risasi, Wapalestina wanarusha mawe na chochote kile kingine wawezacho kurusha.

Maybe I’m delusional.
 
Mtindo wa mafundisho ya kikobazi mtu anapozidi kuzeeka nati zinazidi kulegea na wanakua na hofu sana(we chunguza utabaini)

Mtu analelewa kwa kushika masheria toka mchanga anawekwa mbali na matumizi ya utashi mapema sana unategemea nini ikiwa utashi ni msingi wa afya ya akili.!

Watu wa pwani thamani ya kutumia utashi wanaitambua uzeeni wakiwa wamechelewa kuishikamanisha na maamuzi na matendo

Ndio maana mara nyingi utakuta maamuzi yao ni ya kubet na utawalaumu bure ila ukweli ni wachanga kiakili japo mwili na kichwa kina mvi

We piga tu mstari mchana wanaua Pasi na lawama, wakukamate kifichoni wakuache kweli.!?
 
Mkuu umeongea kwa kituo sana 🤣🤣 ila kwenye watu wa Pwani naunga mkono sijui wale viumbe ni viumbe wakutoka sayari ya wapi they have been endowed with foolish wisdom zat makes them appear clever 2 their fellow fools 🤣🤣 sorry sikwaubaya ila ndivyo natawatazamaga kwa sura hiyo , mfano hata ukimtazama Mzee wa Msoga japo ni mtu msomi na aliyefanikiwa kushika nafasi kubwa zakitaifa nakimataifa lakini bado hajafanikiwa kutoka kwenye hilo shimo la ustaarabu usiyo na tija .
 
Sasa kama watu wanaingia hadi majumbani mwa watu, watu wana option gani zaidi ya ku fight back vyovyote vile wawezavyo?

I’m just being realistic.

Mimi bana nakataa kufa kinyonge huku nimejikunyata.

I’ll try to fight back anyway I can. Kama nikiuliwa, so be it. Ila simwachi mtu aniue kinyonge.

The only way I won’t fight back ni labda mtu anidungue toka umbali flani.

Other than that, I’ll defend myself.

Hivi, kwani hujawahi kuona Wapalestina kule Gaza na West Bank ambavyo huwa wanapambana na IDF?

IDF wanarusha risasi, Wapalestina wanarusha mawe na chochote kile kingine wawezacho kurusha.

Maybe I’m delusional.
🤣🤣that's should the ideal man b, it iz cowardice 2 accept death without granting oneself ze chance 2 mount a defense kwanza ni dhambi 🤣mwanaume unafaa ufie mbali ,siyo watu wakuokote tu kama kuku aagh! No,
 
Kunamambo hata tu akili za kawaida zinagoma kuyaelewa .

Ningelikuwa mimi ndiye Rais,siku ile ya tarehe 29 October baada ya kuona kweli watu wametoka na jeshi limeamua kuwasindikiza kitu ambacho ningelifanya ningeliwashangaza raia .

Ningeliongea na wakuu wavikosi watoe oda ya kuongeza magari ya jeshi mitaani .

ningeliondoa police wote barabarani.
ningeliwapa jukumu wanajeshi wawaongoze na kuwasimamia raia wazunguke nao siku nzima huku wakiwapa sharti moja tu , wasifanye uharibifu wowote na kila wakishafika kwenye kituo kimoja ningeliweka mtu wa kuyapokea maandamano yao ,ningeliwaambia maandamano yao yawe na mabango na wakifikra kwa anaewapokea wampe karatasi waliyoandika mahitaji yao .

Ikifika jioni wakalale na kesho wawaambie tutaendelea 🤣🤣

Ningelihakikisha nawazungusha hivyo hivyo wiki nzima huku tume ikiendelea na utaratibu wake na kwenye ushindi tume ingeliweka hata 52% ingebalance siyo hadi 98% eeh! 🤣🤣

Bina kusema uwongo hapo tungelijiongezea heshima sana kimataifa kwa kuwaonyesha Tanzania tunademokrasia kabambe sana .

Kimsingi naamini tungelifanikiwa sana kudhibiti uharifu kwa maana jukumu la kuzisimamia lingelikuwa kwao wenyewe huku wakiongozwa na jeshi.

Lakini pia uwepo wa wao kubakia na jeshi tu kungeliwaongezea uwoga wa ndani

Ile game ilikuwa iishe droo .

Maana Rais angelipatikana na waandamanaji wangelikuwa wamepewa haki zao tena kisstaarabu .

Lakini kwakuwa Mama ni failure washauri ndiyo kabisa uchawa mwingi so dah!
Wewe hiii ngoma ilikuwa beyond level. Wanajeshi wangezidiwa, plan ilikuwa watu woote watoke na kuungana na jeshi na hakuna kurudi nyuma hadi mkalia kitu akili kukiachia. So suala la kurudi nyumbani haingewezekana. Labda gafla angetokea kama TAL kupokea maandamano hali ingeweza tulia lakn sharti mkali kiti atoke au aahidi kutoka kwa masharti. Hali ilishafika pabaya.
 
🤣🤣🤣Lakini dola kama kweli ingelikuwa inaonana sidhani kama ingelikuwa shida kubwa japo na wabongo nao kama ikatokea umewapa nafasi dah! Unaweza kuja kuvuna mabua kweli ujue 🤣
 
Ubaya nikwamba tukisharuhusu tu kuingia huko tujue tushashiriki kulichoma moto Taifa letu .

madhara yakuanza kutembezeana vyuma dah! nimakubwa sana mkuu
 
Back
Top Bottom