Kitila mkumbo,
Binafsi nakusalimia,na pia nakujulisha kwamba mimi si msomi,lakini naweza kupambanua uzuri na ubaya,au uchungu na utamu wa jambo!
binafsi ninachokiona ni uchungu kwako kwa deal yenu ilitibuliwa mapema(usaliti).
Na pia wewe una ile hulka ya wasomi wa kitanzania walio wengi ambao hudhani ukishasoma na kuwa na kiwango cha shahada ya chuo kikuu.basi wewe uko sahihi muda woote.
CHADEMA MNA HULKA YA KUOGOPA WASOMI HILO HALINA UBISHI.
NIAMBIE NI WAPI
Kitila Mkumbo KASEMA UONGO?
Lakini kwa hakika si kweli na mimi nikionacho kwako ni mambo mawili.
*ulikwisha kuwa na ndoto za kuukwaa ubunge kupitia cdm na hivyo kutimuliwa kwako ni pigo pengine kubwa kuliko hata kupoteza kazi hapo udsm kwa sababu ulikwisha anza kula kiheshimiwa na kuota kiheshimiwa
*Pili ni kwamba huenda walio nyuma ya haya mambo bado wana kusumbua kwani mkakati umeharibika kabla ya malengo na hivyo uko kwenye plan b" ya kuiwa cdm kwa kutumia taaluma yako kwa mgongo wa makala.
Haiingi akilini kwa mtu yeyote makini asikushangae ghafla umeibuka na kuwa mshambulizi wa cdm ghafla wakati ukijinasibu kama msomi na si mwanasiasa
Umeshindwa kutofaitisha ukweli na mashambulizi na hili ni tatizo kubwa la bavicha na chadema.
Hebu twambie ni wapi
Kitila Mkumbo amewashambulia zaidi ya kusema ukweli?
na tukizingatia kwamba una ajira serikalini na cha ajabu wao serikali wamekaa kimya bila kukuchukulia hatua zozote pamoja na wewe kukiri kufanya siasa(tena upinzani)wakati ni muajiriwa wao pale udsm kitu ambacho Proff baregu hakufanikiwa na alinyimwa mkataba wakati akiwa bado anahitajika.
HILI NDIO TATIZO LA BAVICHA KUWA NA CHUKI BINAFSI KISA MMETOFAUTIANA MITAZAMO NA WATU NA KUKOSOLEWA.
HIVI ULITAKA
Kitila Mkumbo AFUKUZWE KAZI?
Kama una nguvu za kuweza kuona mbadala anahitajika kwa nini usikae na wenzako mnaoona mnaendanana kisera na kuamua kanzisha hiyo taasisi yenu,badala ya kudumaza upinzani kwa kutumia kalamu na usomi kutuchanganya tusiosoma kwa manufaa yako binafsi?
Ingawa hutaona matokeo yake kwa sasa lakini utakuja kuyaona ikiwa umeishaimaliza akiba yote ya heshima uliyokuwa umebakiza kwa wapenda mageuzi wote nchini.
Kitila Mkumbo kama mwanachi wa kawaida ana haki ya kuwakosoa.
Ansbert ngurumo yuko sahihi