pefla
Senior Member
- Jan 31, 2012
- 105
- 74
Dr.Kitila nani? Amekuloga hadi umefikia huko?.Mimi nataka aje atuambie nini? maana ya msaliti inawezekana akawa haijui.Huyu ni msomi tuliye mtegemea kufanya mambo kisomi bahati mbaya hafanyi hivyo.Nilishasema na nitaendelea kusema kuwa HAWA Ni wasaliti kwa sababu hawa wote niliwahi kuwaandikia email Mwaigamba na Kitila nikiwasihi wamshauri ZITTO.ili ajenge chama badala ya kuwaza URAIS.ktk email hizo niliandika mengi nikiwasihi wafanye hivyo ili kukiimalisha chama nikiamini kuwa swala la kugombea URAIS si ajenda bali kujenga chama kwanza.Kwa bahati mbaya kumbe nilipeleka mawazo yangu kwa watu wale wale wenye fikra zile zile hakuna aliyenijibu.Wote wanavutwa na tamaa ya madaraka.