GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,697
- 109,125
Tena endelea kutulia hivyo hivyo Mkuu.Ngoja nisitie neno lolote...
Ila Mkuu hata Wao walituroga pia Kwao.Ndicho wanachokijua akina Sope
Mkuu kwa ' Uchawi ' uliofanyika, unaofanyika na utakaofanyika Kesho ( hasa pale Uwanjani ) kwa Mkapa hawa Wazulu wawe makini, wajiangalie kwani wanaweza hata Kufungwa Goli 6 hadi 7.Alipangalo Mungu hakuna pimbi yeyote anayeweza kulipangua...hata wakaroge kuzimu..kama simba imepangwa kushinda itashinda na kama ilapangwa kupigwa itapigwa..."Usiku wa deni hauchelewi kukucha" muda utaongea.....
Nayashuhudia na pia nina Mtu Klabuni.Mmmmh, ya kweli hayo
Basi TP Mazembe wangekuwa wanabeba kombe kila msimu na wasinge toka kizembe msimu huu..Nayashuhudia na pia nina Mtu huko huko.
Mkuu huyu Mtaalam ( Mganga ) wa Congo DR wa TP Mazembe ' Vitu ' anavyovifanya eneo la Siri Mikocheni lililo Jirani pia na Bahari ya Hindi kuna Watu Kesho watafungwa Goli 6 au 7 kwani ni ' Kufuru ' tupu tuAl Ahly amekuja Tanzania mara tatu kucheza na Simba. Amekufa mara zote hajaambulia hata droo. 2-1 1-0 1-0 kimfuatano. Ahly wa kupiga ontarget moja dkk 90?
Viongozi wanajitoa kutafuta ushindi nje na ndani,sie mashabiki tumetulia tulii.
Superstition is real in football. Hata Ulaya. Ingawaje sio kila siku mambo yanaenda kama ilivyopangwa
Walimdhulumu Pesa, ila Kwetu kapewa.Basi TP Mazembe wangekuwa wanabeba kombe kila msimu na wasinge toka kizembe msimu huu..
Mkuu kesho tusubiri kusikia mashabiki wawili chali?Mkuu huyu Mtaalam ( Mganga ) wa Congo DR wa TP Mazembe ' Vitu ' anavyovifanya eneo la Siri Mikocheni lililo Jirani pia na Bahari ya Hindi kuna Watu Kesho watafungwa Goli 6 au 7 kwani ni ' Kufuru ' tupu tu
Lazima Watu 3 hadi 5 Waondoke Kesho.Mkuu kesho tusubiri kusikia mashabiki wawili chali?
Chuo Kikuu cha ' Geniuses ' tupu nchini.Graduate wa SAUT