nkanziga
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 675
- 1,078
Binafsi ili safari yangu iwe nzuri na niifurahie huwa nahitaji vitu vichavhe tu, kwanza kabisa gari linalozingatia muda na pia ile huduma yetu pendwa ya kuchaji simu lakini pia gafi ambalo ni nadhifu kwa maana ya usafi wa ndani na nje wa basi, nikipata vitu hivyo tu basi huwa nashawishika kupanda basi hilo.
Kwako wewe unazingatia nini?
Kwako wewe unazingatia nini?