emperor
JF-Expert Member
- Dec 3, 2013
- 301
- 281
Naleta hoja kwamba Vyombo vya Kiusalama vimeshindwa kutuhakikishia ulinzi na usalama. Hatuoni haja ya kuanza kumiliki silaha za moto tuweze kujilinda sisi kama RAIA?
Yaliyotokea ni wazi yana ripple effects kuu tatu:
1. Maandamano kutokutokea tena kwani watu wataogopa kuuwawa. Hii scenario naipa uwezekano mdogo maana binadamu ana tabia ya ku-adopt mazingira yake. Yanapokua harsh ana tabia ya kuwa dynamic enough kuweza kuishi nayo. Hii ina maana maandamano yajayo yatakuja na waandamanaji kuwa kwenye defence posture zaidi (mkao wa kujihami); mkao unaoweza chochea vita vya wenyewe kwa wenyewe.
2. Scenario ya Pili: Waliouwawa wapendwa wao kuji regroup na kulipiza kisasi. Hii maana yake wataanza kuji organize kimakundi wakiwa na sababu kuu n lengo imara linayowaunganisha. Haya makundi yana hatari ya kugeuka makundi hatari sana hata kuwa na mafungamano ya kigaidi. Ikumbukwe kuwa kwa Tanzania mbali na silaha za jadi ambazo asilimia kubwa tunajua kuzitumia (waTu wa vijijini waliokuja mjini) pia sio ngumu sana ku-smuggle silaha kutoka nje. Nimeishi maeneo ya pembezoni na operation zilizokua na zinazokua zinafanywa na idara za kipolisi huwa zinanishtua sana ninavyoona jirani yangu usiyemdhania anatoa silaha ya kivita(Enzi hizo nilikua nahisi polisi wachawi). Najua waTZ wengi ambao hawaishi au hawakuwahi ishi mipakani mwa Tanzania hawalijui hili.
3. Scenario ya tatu: Matokeo ya maandamano yataimarisha zaidi upinzani, maana raia watawaona kuwa kimbilio. Hoja za mabadiliko ya katiba zitashika kasi na upinzani utapata "ground" ya kudai mabadiliko makubwa zaidi ya katiba- zaidi ya hoja dhaifu za Tume ya Uchaguzi. Watahitaji mageuzi katika mifumo ya majeshi, utekezaji wa mapendekezo ya ripoti ya Haki jinai na mageuzi makubwa ya mamlaka ya Rais na u-Rais katika vyombo vya maamuzi.

Attachments
-
Screenshot_20251104_100600_X.jpg216 KB · Views: 10 -
Screenshot_20251104_122404_X.jpg258.1 KB · Views: 14 -
Screenshot_20251104_122412_X.jpg287.6 KB · Views: 9 -
Screenshot_20251104_122424_X.jpg246.7 KB · Views: 11 -
Screenshot_20251104_122435_X.jpg170.5 KB · Views: 10 -
Screenshot_20251104_161747_X.jpg271.7 KB · Views: 17 -
Screenshot_20251104_161855_X.jpg151.1 KB · Views: 13 -
Screenshot_20251104_161908_X.jpg261.4 KB · Views: 9