Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,265
- 17,134
Kuna story nyingi kama ya bwana Mussa Hassan wa Msasani ambaye baada ya jina lake kuwa gumu ikabidi lifupishwe Msa'asan. Wwngine wananiambia kuna watu fulani walikuwa wanaishi somewhere Kinondoni ambapo kulikuwa na kutokuelewana fulani kwa namna ya kulogana, sasa mtu mmoja ambaye alikuwa ni mwoga sana wa ulozi kila mwanae akilia alikuwa anambembeleza kwa kumwambia Mwana Nyamala(nyamaza) Lile eneo leo ni Mwananyamala....
Mwananyamala ni sababu ya SIMBA aliyekuwa anapenda kukaa eneo ilipo mwananyamala ya sasa. Iko siku Mama mmoja na mwanawe mchanga walikuwa wanavuka kile kijito kwenda Ubungo ndipo Simba akanguruma na mtoto yule mchanga akawa analia sana. Mamaye alimbembeleza Mwananyamala mapaka Simba alipomchukua huyo mama na watu waliosikia kilio chake usiku ule wahaita mahala pale JINA HILO!