huyu mzee thomas alikuwa mfanyabiashara mkubwa, alikuwa na hardware gerezani, pamoja na workshop ya kukunja bati za kutengeneza body za malory, hivyo alikuwa akifanya biashara pia ya vyuma. sasa katika hiyo karakana yake iliyoko gerezani, ndipo magaidi waliolipua ubalozi wa marekani walipopeleka kutengeneza vifaa vyao ambapo kulikuwa na mitungi ya ges ile mirefu ilichomelewa hapo.
mafundi waliofanya hiyo kazi hawakujua ni kwa ajili ya nini, wao walijua.ni kazi tu kama wanavyofanya nyingine. baada ya tukio la kulipuliwa ubaloz wa marekani kutokea, cia & fbi walipoanza kutrace vifaa vilitengenezewa wapi, ndipo ikajulikana vilipotengenezewa hapo kwa mzee thomas, hivyo akawa included, ji moja ya kesi ambazo zimechangia kuzorota kwa biashara zake amekuja kuonekana hanabhatia baada ya muda sana