Dorothy apumzike tu..Lamek aende Ulinzi. Dorothy Mifugo.
Kuna kila Dalili Dorothy anaenda. Coz uteuzi wa Msomi wa Kimataifa means Lameki anaenda kucheza na jamaa zetu (PhD first class) ikiwa kwenye bahasha ya khaki.Dorothy apumzike tu..
Madelu akija Ulinzi na JKT atulie asilete nye nye nye..
Duh, umetumia medula au gluteal kufikiria?Lamek aende Ulinzi. Dorothy Mifugo.
Kwa hiyo unashauri vijana wafanyaje?Kuna kila Dalili Dorothy anaenda. Coz uteuzi wa Msomi wa Kimataifa means Lameki anaenda kucheza na jamaa zetu (PhD first class) ikiwa kwenye bahasha ya khaki.
NB: Vijana punguzeni kupoteza muda kwenye stori za Simba na Yanga mtaishia kulaumu watu tu mpaka kiama
Hiyo wizara inahitaji mtu mtulivu sana mwenye hekima na mcha Mungu.Lamek aende Ulinzi. Dorothy Mifugo.
HakikaHiyo wizara inahitaji mtu mtulivu sana mwenye hekima na mcha Mungu.
yaan LAMEKO aje ulinzi? unaumwa wewe sie hatutaki kiki hukuLamek aende Ulinzi. Dorothy Mifugo.
Huyo hawezi kaa pale sensitive vile na ashajichora kwenye mawe kuwa ni rais ajayeLamek aende Ulinzi. Dorothy Mifugo.
Halafu Prof je?Hongera kwa Dr. Tax kwa kupewa Heshima na Rais.
Mama stegomena Tax ni Jembe sasa ni wakati muafaka likatumika hapa nyumbani.
Atafaa sana kwenye wizara ya Katiba na Sheria.
Huyu apewe Ulinzi,mama Gwajima atumbuliwe,Afya atafutwe Profesa mzuri kama alivyokuwa Prof Mwaikusa,Kuna yule Director wa Jakaya Kikwete Cancer institute,Prof Janabi,apewe Afya.Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 10/09/2021 amemteua Dkt. Stergomena Lawrence Tax kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania katika nafasi kumi za kuteuliwa na Rais wa Jamhuri wa muungano wa Tanzania.
Kabla ya uteuzi huo Dkt. Stergomena Lawrence Tax, alikuwa Katibu mtendaji wa Jumuiya ya maendeleo ya nchi za kusini mwa jangwa la afrika (SADC), ambaye amemaliza muda wake mwezi Agosti mwaka huu.
Mbunge huyo ataapishwa kwa mujibu wa sheria na taratibu za bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Tuwe wavumilivu, mabadilko yanakuja hivi karibuni katika baraza la mawaziri.
View attachment 1931809
Hafai hata jalalani. Ni Kama chumvi isiyo na ladha ya kichumvi chumviHalafu Prof je?
Prof Janabi Si Mbunge na nafasi za uteuzi Kama zishajaaHuyu apewe Ulinzi,mama Gwajima atumbuliwe,Afya atafutwe Profesa mzuri kama alivyokuwa Prof Mwaikusa,Kuna yule Director wa Jakaya Kikwete Cancer institute,Prof Janabi,apewe Afya.
Mchemba,apumzishwe,Gwaji girl apumzishwe,
Umekalia paipu si bureChadema msishabikie wateule wa CCM. Je mna watu kama huyu mama Tax?
CCM wana watu, Yanga wana watu. Mnyie na simba mna watu ?