Kwa tabia hizi nani akuoe?

Kwa tabia hizi nani akuoe?

wanawake wa siku hizi khaaaaaa!!

nina gf "muiraqw" nimejaribu naye anatabia hizi hizi nakaribu kumweka katika mstari lakini haelekei...jaribu kumshauri ndugu hizo dharau si nzuri utakuja mdharau na mama yangu walaaaaaaa!!
halafu anategemea tuje tuoane......

sasa kama kuna wakati hadi mimi ananidharau je tukioana akija kuwadharau wazazi wangu itakuwaje??

kweli Mr Yes hata mimi nipo njia panda sana..nimemwacha kwanza sijawasiliana naye mwezi sasa...na sina hofu akipata mwingine apate coz nlimpenda saaaana ila tabia ndo imenipa shida hata kuwaza mema ya huko mbele tukuendeako.


Na sitajutia kwani nlimwonya mara nyingi sana lakini sioni mabadiliko.....

na huwa anasema eti hata kuja kumnyenyekea mwanaume.


Mr Yes brother don bother Mungu keshatuonesha dalili za mvua kwahiyo tunapaswa either kutoka na mwamvuli pamoja na koti au Kutotoka mpaka inyeshee iishe kabisa ndo tuendelee na safari yetu.
 
Last edited by a moderator:
and you stil believe utampata mwanaume atakaekupenda for real ka ukiendelea hivyo!??
kwenda mwezini hata kiboko anaenda ndo uwe wewe.... kuzaa sikuhizi mnakimbilia mikasi hamtaki kuharibu huko chini yani nyie now days ni extra fake aaargh....

who said natafuta mwanaume ataenipenda? COME ON! That is so naive! If you insist i can tell you what i am looking for! A MAN MEANING HE HAS A DIC , AND WHO KNOWS HOW TO USE IT, PUT FOOD ON THE TABLE, TAKE CRE OF THE BILLS, FULL FEEL MY DREAMS, GET ME WHATEVER I WANT. SIMPLE! I AM NOT ASKING TOO MUCH. AM I?
 
Hahahaaaaaaa! DONT BE SO SURE! EVERY SAINT HAS A PAST AND EVERY SINNER HAS A FUTURE! KWA UWEZA WA MUNGU UNAWEZA NIKUTA NAIMBA KWAYA!:spit::spit::spit:

..I wont b perplexed to see you a" choir master"....morever "marriage councillor" in near future...am just talkin of the past and the present..
 
Masharti mengiiii uwe na hela na maisha ya kunipa hapo aaaaaaaaaah nitakufagilia upite ama sivo uwe umejaaaliwa, ufundi wako kunako 6 by 6 uwe IMPECCABLE. Ila kama maisha kuunga na kupigana donee mshahara, kitandani kwenyewe nakufanyia hisani tu maana hukujiumba I HAVE ALL THE RIGHTS TO KUNUNARING, KIBRINIZATION, KISIRANIZATION.

HIVI MNAFIKIRI MTU ATAWEZAJE KUSURVIVE IN THA LEVELOF IN-ACCOMPLISHMENT, FAILURE, BAD LUCK! Sometimes anakuwa hivo ili asiondoke atiii!

Sincerely
Jicho la 3.

Amekuelewa,aanze na kipi sasa kutafuta hela au kujifua kunako 6x6!!!!
 
..I wont b perplexed to see you a" choir master"....morever "marriage councillor" in near future...am just talkin of the past and the present..

LET THE PAST REST IN PEACE! Its gone! never coming back! You should learn to live with that. THE PRESENT as its name means a GIFT! Let me enjoy mine while it lasts.
 
...GET ME WHATEVER I WANT. SIMPLE! I AM NOT ASKING TOO MUCH. AM I?

"GET YOU WHATEVER YOU WANT" is too much for anybody..."EVEN YOU CANNOT GET YOURSELF "WHATEVER" YOU WANT"...Unless otherwise the scope of "WHATEVER" is narrowed. .
 
Aku kaoe mmasai mie sitaki hapa hela mapenzi hela babu

Dada yangu Miss Chagga,ni hela kiasi gani hicho wakati unaambiwa Tanzania 94% ni masikini?

Ni hizo 6% za wenye pesa?

Plus,competition ya kuipata hiyo 6% utaiweza?

Kwanini usifanye uzalishaji ukapata financial streams ukashika uchumi ukawa na real power ukawa real bosslady?

Hujawahi tapeliwa pussy wewe?Ukadanywa,mtu akapiga pussy,na hela usipate,na maukimwi juu?

Hii ni kuendekeza dhiki bwana.
 
"GET YOU WHATEVER YOU WANT" is too much for anybody..."EVEN YOU CANNOT GET YOURSELF "WHATEVER" YOU WANT"...Unless otherwise the scope of "WHATEVER" is narrowed. .

Mpwa,madini unayotema ni aibu....!
 
Back
Top Bottom