Kwa tabia hizi nani akuoe?

Kwa tabia hizi nani akuoe?

yaani wewe hujajua tu PESA ISIYOISHA ITAKUFANYA UAMBIWE NDIO MZEE KILA JAMBO. hao ndugu zako hawapendi kwasababu anaona chakula chenu tu wawili unaweza usimudu je na ndugu xako wakija ndo mtalala njaa

Na pesa isifanye ndio sababu ya nyie kuishi pamoja.Ndugu zangu ndio kila kitu kwangu hata kama sina chakula cha kutosha basi ni afadhali tugawane hicho hicho kidogo kilichopo na si kuniambia habari za kuwatenga ndugu zangu aisee
 
Ukisema uangalie looks tu,akija kuchoka penzi litapungua....

Ukisema hela,akija kuchacha lazima penzi lifutike....

Heri niangalie natural chemistry between the two
NDugu yangu mimi siangalii sura naangalia zaidi tabia zilizopo ndani ya mtu,unajua wanawake wengi wanajivunia uzuri na kusahau kuwa uzuri huisha jinsi umri unavyoongezeka,ndio wale wanaokuja kushtuka jua lishazama na ashafanywa sana na ndoa hamna.

Mkuu hiyo chemistry unayoizungumzia unamaanisha chemistry ya aina gani?
 
Hivi nyie wanaume huwa mnaangalia wanawake na nyie KASORO zenu mnazifahamu? Au wanawake hawana haki ya kusema kasoro zenu?

Mnakasoro bwana msijidai wakamilifu..

Sio kwamba hatuna mapungufu,mapungufu tunayo tena mengi tu,ila mimi ndiye ninayeoa so naangalia vigezo ninavyotaka mimi na wewe ukiona sina vigezo unavyopenda wewe si unapiga chini jamani.
 
Hivi nyie wanaume huwa mnaangalia wanawake na nyie KASORO zenu mnazifahamu? Au wanawake hawana haki ya kusema kasoro zenu?

Mnakasoro bwana msijidai wakamilifu..


basi tu ndug yangu hawajijui..... ngoja nikae kimyaaaaa. nikiongea sana ntawasononesha
 
Sio kwamba hatuna mapungufu,mapungufu tunayo tena mengi tu,ila mimi ndiye ninayeoa so naangalia vigezo ninavyotaka mimi na wewe ukiona sina vigezo unavyopenda wewe si unapiga chini jamani.




sa na ww vigezo unavotaka ka havipo si upige chini malalamiko ya nn? Huenda unafanyiwa hayo coz huna vigezo pia
 
kaka...MAKONDEKO....we mtu wa mbeya nini??...ila kwahiyo tabia mhhh.hata mimi sikushauli
 
Nawe pia una mapungufu kibao kama kweli ulikuwa na mapenzi ya dhati kwake ya kufa na kuzikana ungemwonya na u make sure amerekebika b4 mrg c kumkataa ninyi nyote bure tu! hamfaani.
 
kwahiyo bora uzeekee kwenu?shida ni sehemu ya maisha.ukiwa mpenda raha hapo ndio mimi Mr Yes sitaki kabisaaa

avatar122407_2.gif
kweli huwezi
 
I thank GOD a lot nimepata mwanamke ambaye hizo tabia zote ulizozitaja hana aisee...I am so proud of You my lady...love You so much my senorita.
 
Utanioa wewe mwenyewe Mr Yes
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom