Kwa sisi wapenzi wa kitimoto

my web

JF-Expert Member
Dec 23, 2012
1,592
242
Kwa wapenzi wa nyama ya nguruwe, ktk kutafuta kitimoto kwa muda mrefu sasa nimegundua kuwa sehemu nyingi ambapo nguruwe anapikwa ni pachafu mazingira yake hayalidhishi.

Hii ni kwa nn?
Au kuna mtu humu anafahamu sehemu safi anapotengenezwa nikajionee
 
Njoo hapa sinza kumekucha, tunatengeneza hiyo kitu kwa kutumia oven. Lainiiiii na tamu
 
kama uko bongo washington(Dodoma)fika jakana pale.piga kitu na bia laini.km uko mwanza njoo Digital pub mitaa ya Bugando.

mwanza nakujaga mara nyingi mkulu pande za igogo pepsi.nielekeza pasaka hii nitakuwa hapo
 
Back
Top Bottom