Kwa sisi wapenzi wa kitimoto

ushauri wa bure, nunua kiti moto yako, mpe mama totoz akaange kwenyewe kwenye jiko lako safi, huku kwenye majiko ya jumuia usitegemee sana usafi wa kiwango cha kuridhisha utahama vijiwe kila siku kutafuta pasafi
 
Nitajieni vijiwe vya Kilwa road kuanzia Aziz Ally, Mtongani hadi Mbagala kwa wazoefu
 
Mungu kaumba vichafu na visafi mkuu!!!
Halafu ukimwita Sir naona humtendei haki, hicho ni cheo kidogo sana kwa Mungu.

imani yangu inasema vyote alivyoviumba ni vyema! Nisaidie basi mitaa ya Aziz Ally, Mtongani kipo sehemu gani?
 
Kwa wapenzi wa nyama ya nguruwe,ktk kutafuta kitimoto kwa muda mrefu sasa nimegundua kuwa sehemu nyingi ambapo nguruwe anapikwa ni pachafu mazingira yake hayalidhishi.Hii ni kwa nn?au kuna mtu humu anafahamu sehemu safi anapotengenezwa nikajionee
MKUU,ULIFANIKIWA
 
Back
Top Bottom