Kwa sisi wapenzi wa kitimoto

kuna sehemu moja pale moshi ni pasafi sana "uhuru hostel ila wanakuawa hawana pombe ni maziwa na soft drink nilikua pale nikianza mwaka. hapa karibeani hapa pembeni ya jENGO LA BUNGE SIO PASAFI SANA NI MAZINGIRA YALE KAMA YA KIMARA NA MIANZINI ARUSHA LABDA KAMA KUNA SEHEMU NYINGINE NA HAPO UHURU HOSTELS NI YA KWELI WANACHOMA NA NYAMA NYINGINE ILA BEI YAO INAKUA JUU KWANI WANAONDOA MAFUTA NA MIFUPA UNAKULA KITU AMBACHO HUWEZI TUPA KITU KWA WALE WALIOWAHI FIKA PALE WATAUNGANA NA MM. NAPATA HAMU YA KUMLA MDUDU YULE
 
Hakika nimekula nyama nyingi lakini kitimoto ni nomaaaaaaaaa!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Karibuni kwetu tanga.. chini ya mwembe.. majani mapana kwa GODII. KITU swafiiii.. unagonga umeketi chini ya mwembe. mdudu ananyongwa live watu tunasubilia kitu. ANGALIZO. TUKIO NI JUMAMOSI NA JUMAPILI.
 
sio kila anasema nguruwe ni uchafu ni muslim we mburula, tumia akili kidogo.

Nguruwe ni Mnyama na si uchafu. Rekebisha basi usemi wako uwe more constructive. Mungu hakuumba uchafu bali aliumba Mnyama aitwaye Nguruwe. Hivyo basi, unaposema Nguruwe ni Uchafu unamaanisha kuwa Mungu aliumba uchafu which is not true.
 
Samahani KamaJambazi hapo kwenye red ni Dodoma au Dar maana mate yameshajaa mdomoni

Dodoma mkuu.
Hapo utakutana na watoto wa CBE na wale wa chuo cha utalii jirani na bunge na wabunge wa viti maalum.
 
Kama vipi timba kigoma ujiji manguruwen njia ya kwenda air port.mambo poa kwa sasa tupo na magamba tunapiga
 
Njoo Bunju A Resort, ni hapa Bunju A Barabara wa Mkanada - Utahamia . Never seen Before Jiko lao ni la Marumaru na maji ya kumwaga si ya kununua wala ya Chumvi. Wonderful taste.
 
Kwa wapenzi wa nyama ya nguruwe,ktk kutafuta kitimoto kwa muda mrefu sasa nimegundua kuwa sehemu nyingi ambapo nguruwe anapikwa ni pachafu mazingira yake hayalidhishi.Hii ni kwa nn?au kuna mtu humu anafahamu sehemu safi anapotengenezwa nikajionee

Kwa Arusha huwa nakipiga pale SAKINA, karibia na 7UP bar, kwa DAR, napata ile ya kuchoma maeneo ya MOROCCO, jirani na jengo la Airtel.

Karibuni wadau, uchoyo siyo jadi yangu.
 
Kwa wapenzi wa nyama ya nguruwe,ktk kutafuta kitimoto kwa muda mrefu sasa nimegundua kuwa sehemu nyingi ambapo nguruwe anapikwa ni pachafu mazingira yake hayalidhishi.Hii ni kwa nn?au kuna mtu humu anafahamu sehemu safi anapotengenezwa nikajionee

Ule nyama iliyo iva usije ukapata Kifafa cha ukubwani (Neurocystercecosis).
 
Nguruwe ni Mnyama na si uchafu. Rekebisha basi usemi wako uwe more constructive. Mungu hakuumba uchafu bali aliumba Mnyama aitwaye Nguruwe. Hivyo basi, unaposema Nguruwe ni Uchafu unamaanisha kuwa Mungu aliumba uchafu which is not true.

shetani aliumbwa na nani?
 
kitabu cha kikristu na kitabu cha kiislam kwa pamoja vinakataza huyu mnyama asiliwe, ni mchafu na analeta magonjwa kwa mlaji....sasa bado mnatafuta pahala safi anapouzwa!?
 
Nguruwe ni Mnyama na si uchafu. Rekebisha basi usemi wako uwe more constructive. Mungu hakuumba uchafu bali aliumba Mnyama aitwaye Nguruwe. Hivyo basi, unaposema Nguruwe ni Uchafu unamaanisha kuwa Mungu aliumba uchafu which is not true.

Mungu pia kaumba zinaaa kisha akasema zinaa ni uchafu msiikurubie!
 
Njoo huku migombani hapa opp lufungira kitimoto balaa japo vichochoroni,or rainbow mbezi ya chini.
 
Back
Top Bottom