Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,315
- 144,721
Yaani ni kusifu na kuabudu tu wanadam. Tz haina wasanii , lina kundi la watu wanaojikomba komba wapate chochote kituHata ingekuwa ni wewe, uwezekano wa kuanza kukuona wewe ni mungu, ni mkubwa sana.
Unaweza hata kujiona huna kasoro yoyote ile.
Unaweza ukajiona wewe si binadamu wa kawaida:-….yaani wewe damu yako ni tofauti kabisa na damu za watu wengine. Labda una damu ya rangi ya njano.
Unaweza ukajiona wewe moyo wako umeumbwa tofauti kabisa na mioyo ya watu wengine.
Unaweza ukajiona wewe huna mishipa ya damu iliyotapakaa mwili mzima.
Unaweza ukajiona unao uwezo wa kutenganisha bahari zote zilizopo duaniani.
Unaweza ukajiona wewe mwili wako hauzalishi bakteria kama ilivyo miili yetu sisi wengine.
Unaweza ukajiona wewe unaweza tembea hewani. Yaani kanuni za nguvu za mvutano wewe hazikuhusu kabisa.
Kwa sifa hizo, hata wakitokea wapumbavu wanaotaka uwe Rais wa maisha, hutoweza kuwakemea. Utawafurahia tu.
Urais wa Tanzania ni wa kipekee sana. Labda unaweza tu kufananishwa na urais wa kule Korea ya Kaskazini.
View: https://youtu.be/1-9OC-HXD0M?si=x37ss3tYzZhP5jQU
Hivi huwa wanalipwa hela nyingi au huwa wanajitolea tu?Yaani ni kusifu na kuabudu tu wanadam. Tz haina wasanii , lina kundi la watu wanaojikomba komba wapate chochote kitu
Wanalipwa pesa ndefu sana, sema wasaidizi nao wanakula pasu ma wasaniiHivi huwa wanalipwa hela nyingi au huwa wanajitolea tu?
Maendeleo gani? Ya kufungia Pornhub?kwa maendeleo huyu mama anayoleta ni kama mujiza wallah
niko nae begakwabega
kwako hilo ni shambulizi nduguMaendeleo gani? Ya kufungia Pornhub?
Na wewe mbona unalalamika?Taifa la walalamishi tena wanaume ni kutwa kucha kulalamika lalamika hovyo hovyo ova watoto wa kambo. Matatizo ya kulelewa kwa kudekezwa matokeo yake ndio kama haya.
Chadema mnaumia sana kwa kuwa li chama limekisa mvutoNahisi ndio maana amekuwa na kiburi cha dhahiri sasa hivi. Sifa zimemuaminisha kuwa yeye ni 'the chosen one' God's number one aide......the immortal, ever living.
Sio wasanii tu bali kiujumla Tz in misukuleYaani ni kusifu na kuabudu tu wanadam. Tz haina wasanii , lina kundi la watu wanaojikomba komba wapate chochote kitu
Wanalipwa, wangekuwa hawalipwi usingewaona hapoHivi huwa wanalipwa hela nyingi au huwa wanajitolea tu?
Ndio ulevi wa wanasiasa wa Afrika huo.Hata ingekuwa ni wewe, uwezekano wa kuanza kukuona wewe ni mungu, ni mkubwa sana.