Kwa sasa ukishindwa kupanda ndege basi tena

Kwa sasa ukishindwa kupanda ndege basi tena

Sisi wa Bukoba tupande ndege sasa kwenda Dar kushangaa flyover
 
Mwanza bus la kawaida sanaa ambalo litaharibika njiani ni 65, lenye kaunafuu 78 Zurii 90-120 na luxury 170 kwahiyo ni mule mulee, tusio na nauli kuna treni za siku 3 uko njiani kama unaenda KG🥵
Duh
Bora nipande train second sleep class kuliko basi galangal
Hahah
 
Mwanzoni ilikuwepo ndege iliitwa fast jet ile ndege ilikuwa ina route nauli hadi sh 90000 watu walikuwa wanajaza vibaya na watu wakaona ni mkombozi na ilikuwa inajiendesha kwa faida kwa nauli hiyo hiyo na ilikuwa ni airbus

ila alivyoingia jpm akaifufua air Tanzania ile fastjet zikapotea na watu wakalalamika sana

Maana air Tanzania ilikuja na nauli kubwa watu wakashindwa kuaford mwisho wa siku ndege zikawa zinapaa tupu CAG akawa anakuja na taarifa za hasara kila mwaka shirika linakula hasara

Sasa sijui ATcl itakuwa imepata CEO mya au mshauri wa biashara naona now wamelijua tatizo wakaja na mkakati wa kupunguza nauli na hili wakiendelea nalo now shirika litaanza kufanya kazi kwa faida

Now naona nauli ya dar zanzibar ni sh 88,000 ingia kwenye website yao now

Leo asubuhi Dar arusha ilikuwa sh 150,000

Usiiku nliona tiketi za mwanza 120,000 hadi 99,000

Now naona wamedhamiria kuliko ndege zisafiri zikiwa tupu ni heri wapunguze nauli watu wajae na hili litafanya kazi

Kwa mfano jana nimeenda mwanza kwa sh 120000 jioni nikageuza kwa sh 99000

Usiku nimeona tiketi za mbeya sh 99000, na naona shirika lina ndege kila route wapo aisee

Lala salama John pombe magufuli [emoji1317]

Niliwahi kuwaambia ATC wanaweza kufanya safari zote za ndani kwa dola $50 na ikawalipa sana kuliko wanavyofanya sasa hivi wakabisha...nakusema sijui wanacopy wapi....
Tatizo marketing manager wa Africa wanakwenda kusomea kukopy na kupaste badala ya kuja na creativity zinazoendana na mazingira yetu. Fikiria ndege iwe na safari 5 za Arusha kwa siku, mwanza 5, dodoma 5, Kigoma 3, Songwe 2. kwa shs 100,000 tu kwa route. Ukipangilia vizuri kwa ndege mbili unaingiza walau 80,000, 000 net profit ina maana kwenye miezi 6, unaweza kununua ndege mpya. Ndio sababu natamani serikali iwekeze kwenye HESABU!

Ndege inalipa hata ukicharge $25 ili mradi ijae muda wate....tena wao parking slot za kwao au pengine wanalipia kidogofIKIRI NDEGE .

TATIZO SECTOR ZA UMMA NYINGI ZINA WASOMI ILA WAPO KUJINUFAISHA WAO NA FAMILIA ZAO;
WANATENGENEZA MATUMIZI YA HOVYO HOVYO (kuiba kisomi), OVER EMPLOYMENT NK MWISHO MASHIRIKA YANAKUFA
 
Niliwahi kuwaambia ATC wanaweza kufanya safari zote za ndani kwa dola $50 na ikawalipa sana kuliko wanavyofanya sasa hivi wakabisha...nakusema sijui wanacopy wapi....
Tatizo marketing manager wa Africa wanakwenda kusomea kukopy na kupaste badala ya kuja na creativity zinazoendana na mazingira yetu
Wak.
Waongeze route Arusha, dodoma, Mwanza na kigoma;...Ndege inalipa hata ukicharge $25 ili mradi ijae muda wate....tena wao parking slot za kwao au pengine wanalipia kidogo
True wamejirekebisha bow
 
Hizi zitakuwa ni propaganda uchwara tarehe 5 nimeulizia tiketi ya ndege kutoka Mbeya hadi mwanza kwenda na kurudi nikaambiwa Laki 9 na Elfu 80 nikaona ujinga huu nikakata tiketi ya basi faster Elfu 90
 
Heeee
 
safiiiiii....hata huku USA ukikata ticket miezi mitatu au sita mbele huko bei inashukaa
 
Hiyo community airline haikuwahi kupata faida,bahati aliyekuwa anaiendesha ni rafiki yangu na mimi na yeye ndio tulienda uturuki kukodi hizo ndege,hasara ambayo tulikuwa tunaipata per tiket per person per trip tulikuwa tunaidia kwa njia fulani,sasa baada ya huyo mwenye huo mradi alipotumbuliwa basi tukakosa njia ya kufidia hasara na ndipo mradi ukayeyuka yeyuuuuuu
Kwanini hamkuwa mnapandisha nauli kidogo kidogo?

Ilikuwa inatengeneza hasara, lakini kule kwenye cash flow kulukuwaje? Operating cash flow ilikuwa negative pia?

Maana saa nyingine mtu anaweza kufunga biashara ilihali kulikuwa na room ya kuendelea ku operate na wakati huo kubadili strategy za kampuni ili iende kwenye profitability.
 
Its late in a day, to sneak in today!

Wangeanza zamani wangekuwa mbali sahivi.
Yes nauli kiasi ndege ijae

Sasa inakuta mwanza dar unakaza nauli.laki 5 wanapata watu 40 ndege inauwezo.wa watu 250

Ni heri uchukue sh 150000 tu ijae
 
Mwanzoni ilikuwepo ndege iliitwa fast jet ile ndege ilikuwa ina route nauli hadi sh 90000 watu walikuwa wanajaza vibaya na watu wakaona ni mkombozi na ilikuwa inajiendesha kwa faida kwa nauli hiyo hiyo na ilikuwa ni airbus

ila alivyoingia jpm akaifufua air Tanzania ile fastjet zikapotea na watu wakalalamika sana

Maana air Tanzania ilikuja na nauli kubwa watu wakashindwa kuaford mwisho wa siku ndege zikawa zinapaa tupu CAG akawa anakuja na taarifa za hasara kila mwaka shirika linakula hasara

Sasa sijui ATcl itakuwa imepata CEO mya au mshauri wa biashara naona now wamelijua tatizo wakaja na mkakati wa kupunguza nauli na hili wakiendelea nalo now shirika litaanza kufanya kazi kwa faida

Now naona nauli ya dar zanzibar ni sh 88,000 ingia kwenye website yao now

Leo asubuhi Dar arusha ilikuwa sh 150,000

Usiiku nliona tiketi za mwanza 120,000 hadi 99,000

Now naona wamedhamiria kuliko ndege zisafiri zikiwa tupu ni heri wapunguze nauli watu wajae na hili litafanya kazi

Kwa mfano jana nimeenda mwanza kwa sh 120000 jioni nikageuza kwa sh 99000

Usiku nimeona tiketi za mbeya sh 99000, na naona shirika lina ndege kila route wapo aisee

Lala salama John pombe magufuli [emoji1317]
Kuna mtalam wa masuala ya usafirishaji wa anga alikuwa anafanya hesabu ,,,,,,,,wakaona nauli Dar Mwanza yaweza kuwa 70,000..........walipojaribu kufuatilia vibali ili walete ndege zao......walipiogwa zengwe matata.
 
Sana kaka
 
Back
Top Bottom