Kwa sasa ukishindwa kupanda ndege basi tena

Kwa sasa ukishindwa kupanda ndege basi tena

Asilimia kubwa ya watanzania hawajawahi hata kupanda ndege.

Kuna ambao hata kufika airport hawajawahi.

Ndio maana watanzania wengi wakikwea pipa first time, wana amini ni ishara ya mafanikio.

U get that?
Mm nimepanda ndege tokea 1992 nazaliwa mzee miaka 33 iliyopita usiijichanganye
 
Hao jamaa walikua na bei za ajabu sijui walikua wanatoa wapi kuna siku niliangalia tileti ya Ruvuma muda kidogo walitaka laki tano kwa tiketi moja nikawasukuma...
Wakati hapo nina tiketi ya Air Malawi ya laki sita kwenda Jhb bila return kutokea Daslm.
 
Mwanzoni ilikuwepo ndege iliitwa fast jet ile ndege ilikuwa ina route nauli hadi sh 90000 watu walikuwa wanajaza vibaya na watu wakaona ni mkombozi na ilikuwa inajiendesha kwa faida kwa nauli hiyo hiyo na ilikuwa ni airbus

ila alivyoingia jpm akaifufua air Tanzania ile fastjet zikapotea na watu wakalalamika sana

Maana air Tanzania ilikuja na nauli kubwa watu wakashindwa kuaford mwisho wa siku ndege zikawa zinapaa tupu CAG akawa anakuja na taarifa za hasara kila mwaka shirika linakula hasara

Sasa sijui ATcl itakuwa imepata CEO mya au mshauri wa biashara naona now wamelijua tatizo wakaja na mkakati wa kupunguza nauli na hili wakiendelea nalo now shirika litaanza kufanya kazi kwa faida

Now naona nauli ya dar zanzibar ni sh 88,000 ingia kwenye website yao now

Leo asubuhi Dar arusha ilikuwa sh 150,000

Usiiku nliona tiketi za mwanza 120,000 hadi 99,000

Now naona wamedhamiria kuliko ndege zisafiri zikiwa tupu ni heri wapunguze nauli watu wajae na hili litafanya kazi

Kwa mfano jana nimeenda mwanza kwa sh 120000 jioni nikageuza kwa sh 99000

Usiku nimeona tiketi za mbeya sh 99000, na naona shirika lina ndege kila route wapo aisee

Lala salama John pombe magufuli [emoji1317]
Watakuwa wameeleimishwa kuwa ndege sio anasa ni usafiri kama usafiri mwingine..
Huwezi kusema unajiendesha kwa ahasara huku hujatengeneza wateja tengeneza kwanza wateja ili wazoe ainabya usafiri wako then wafanye wawe mateja wa huduma yako kwisha..
 
Screenshot_20260116-001543.jpg
 
Mwanza to dar leo ijumaa hiyo[emoji16][emoji16]
Screenshot_20260116-001748.jpg
 
Dar to Mbeya leo ijumaa[emoji16][emoji16][emoji1593]
Screenshot_20260116-002057.jpg
 
Back
Top Bottom