Kwa sasa ukishindwa kupanda ndege basi tena

Kwa sasa ukishindwa kupanda ndege basi tena

Hahahahahaaaaa tushajuwa ulikuwa unapanda ndege haha 😄 😆 😂
Ndio sababu naichukia Ccm yani mtu anaona ndege ni kitu cha ajabu.

Mimi usafiri ambao najisikia comfotable ni treni na siyo ndege.

Ndio maana namuonaga Kikwete ana roho ngumu kwelikweli kila siku yuko angani, tena trip za Marekani kuikatisha Antrantic ocean ni masaa 8.

Kwangu mimi ndege siyo issue na sipendi kabisa ndege.
 
Hizo ticket za 120 mnazitoa wapi wakuu
Screenshot_20260115-184012.png
 
Mwanzoni ilikuwepo ndege iliitwa fast jet ile ndege ilikuwa ina route nauli hadi sh 90000 watu walikuwa wanajaza vibaya na watu wakaona ni mkombozi na ilikuwa inajiendesha kwa faida kwa nauli hiyo hiyo na ilikuwa ni airbus

ila alivyoingia jpm akaifufua air Tanzania ile fastjet zikapotea na watu wakalalamika sana

Maana air Tanzania ilikuja na nauli kubwa watu wakashindwa kuaford mwisho wa siku ndege zikawa zinapaa tupu CAG akawa anakuja na taarifa za hasara kila mwaka shirika linakula hasara

Sasa sijui ATcl itakuwa imepata CEO mya au mshauri wa biashara naona now wamelijua tatizo wakaja na mkakati wa kupunguza nauli na hili wakiendelea nalo now shirika litaanza kufanya kazi kwa faida

Now naona nauli ya dar zanzibar ni sh 88,000 ingia kwenye website yao now

Leo asubuhi Dar arusha ilikuwa sh 150,000

Usiiku nliona tiketi za mwanza 120,000 hadi 99,000

Now naona wamedhamiria kuliko ndege zisafiri zikiwa tupu ni heri wapunguze nauli watu wajae na hili litafanya kazi

Kwa mfano jana nimeenda mwanza kwa sh 120000 jioni nikageuza kwa sh 99000

Usiku nimeona tiketi za mbeya sh 99000, na naona shirika lina ndege kila route wapo aisee

Lala salama John pombe magufuli [emoji1317]
Screenshot_2026-01-15-18-50-13-759_com.hititcs.airtanzania.jpg
 
Tayari nimeshakuwin kisaikolojia 😂🤣😅
 
Back
Top Bottom