Kwa sasa ukishindwa kupanda ndege basi tena

Kwa sasa ukishindwa kupanda ndege basi tena

Muda huu hii, Dar mwanza
IMG_1451.png
 
Mm nimepanda ndege tokea 1992 nazaliwa mzee miaka 33 iliyopita usiijichanganye
Una tatizo la kusoma kwa ufahamu na kuelewa.

Hakuna aliyekuuliza, ulipanda ndege lini? Hakuna anayetaka kujua maisha yako.

Nacho kwambia ni hivi, kuna watanzania wengi hata hawajawahi kupanda ndege. Kwanza hata kufika airport hawajawahi. Kwa hiyo first time, wakipanda ndege ni mafanikio kwao.

Una elewa?
 
Mmhh
Kwa iiz nauli mfano basi unakuta mpk 55, hujala njiani dharula mbona inarudi palepale tu
Mwanza bus la kawaida sanaa ambalo litaharibika njiani ni 65, lenye kaunafuu 78 Zurii 90-120 na luxury 170 kwahiyo ni mule mulee, tusio na nauli kuna treni za siku 3 uko njiani kama unaenda KG🥵
 
Back
Top Bottom