Kwa sasa ukishindwa kupanda ndege basi tena

Kwa sasa ukishindwa kupanda ndege basi tena

Hizo bei mbona kwenye website yao hazipo?

Hii ni nauli ya Dar to Mbeya muda huu tena ni one root
Screenshot_20260116-002806_Chrome.jpg

Au hiyo 90,000 ulimaanisha nauli ya Bolt?
 
Duuuh!!! Ila watu mnahela za kuchezea yaani unalipa 9.9k kwaajiri ya kusafiri...hakika Imeniuma sana mimi ninaetembea kutoka Tabata Matumbi hadi Gongo la Mboto Kwa mguu....
 
Duuuh!!! Ila watu mnahela za kuchezea yaani unalipa 9.9k kwaajiri ya kusafiri...hakika Imeniuma sana mimi ninaetembea kutoka Tabata Matumbi hadi Gongo la Mboto Kwa mguu....
[emoji16][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa mfano jana nimeenda mwanza kwa sh 120000 jioni nikageuza kwa sh 99000
Km ni hivi si kila mtu [atapanda] ndege sasa? Ndege itakua sio jambo la anasa tena km ilivyokua treni, sasa hivi treni kawaida tu km unapanda daladala za mwendokasi
 
Back
Top Bottom