Unapanda ndege unaenda ICC ama unaenda mbinguni?Mwanzoni ilikuwepo ndege iliitwa comunity airlines ile ndege ilikuwa ina route nauli hadi sh 90000 watu walikuwa wanajaza vibaya na watu wakaona ni mkombozi na ilikuwa inajiendesha kwa faida kwa nauli hiyo hiyo na ilikuwa ni airbus
ila alivyoingia jpm akaifufua air Tanzania ile comunity ikapotea na watu wakalalamika sana
Maana air Tanzania ilikuja na nauli kubwa watu wakashindwa kuaford mwisho wa siku ndege zikawa zinapaa tupu Cag akawa anakuja na taarifa za hasara kila mwaka shirika linakula hasara
Sasa sijui Atc itakuwa imepata CEO mya au mshauri wa biashara naona now wamelijua tatizo wakaja na mkakati wa kupunguza nauli na hili wakiendelea nalo now shirika litaanza kufanya kazi kwa faida
Now naona nauli ya dar zanzibar ni sh 88,000 ingia kwenye website yao now
Leo asubuhi Dar arusha ilikuwa sh 150,000
Usiiku nliona tiketi za mwanza 120,000 hadi 99,000
Now naona wamedhamiria kuliko ndege zisafiri zikiwa tupu ni heri wapunguze nauli watu wajae na hili litafanya kazi
Kwa mfano jana nimeenda mwanza kwa sh 120000 jioni nikageuza kwa sh 99000
Usiku nimeona tiketi za mbeya sh 99000, na naona shirika lina ndege kila route wapo aisee
Lala salama John pombe magufuli [emoji1317]
Usalama vipi. Ndege za Bongo siziamimiMwanzoni ilikuwepo ndege iliitwa comunity airlines ile ndege ilikuwa ina route nauli hadi sh 90000 watu walikuwa wanajaza vibaya na watu wakaona ni mkombozi na ilikuwa inajiendesha kwa faida kwa nauli hiyo hiyo na ilikuwa ni airbus
Ikaja fastjet now walikuwa na nauli ndogo na ndege ilikuwa inagombaniwa
ila alivyoingia jpm akaifufua air Tanzania ile comunity na fastjet zikapotea na watu wakalalamika sana
Maana air Tanzania ilikuja na nauli kubwa watu wakashindwa kuaford mwisho wa siku ndege zikawa zinapaa tupu CAG akawa anakuja na taarifa za hasara kila mwaka shirika linakula hasara
Sasa sijui ATcl itakuwa imepata CEO mya au mshauri wa biashara naona now wamelijua tatizo wakaja na mkakati wa kupunguza nauli na hili wakiendelea nalo now shirika litaanza kufanya kazi kwa faida
Now naona nauli ya dar zanzibar ni sh 88,000 ingia kwenye website yao now
Leo asubuhi Dar arusha ilikuwa sh 150,000
Usiiku nliona tiketi za mwanza 120,000 hadi 99,000
Now naona wamedhamiria kuliko ndege zisafiri zikiwa tupu ni heri wapunguze nauli watu wajae na hili litafanya kazi
Kwa mfano jana nimeenda mwanza kwa sh 120000 jioni nikageuza kwa sh 99000
Usiku nimeona tiketi za mbeya sh 99000, na naona shirika lina ndege kila route wapo aisee
Lala salama John pombe magufuli [emoji1317]
Kwani ulipotea wapi?Nilijua walikuteka ,au ulikuwa unateka?Hiii ndio jf watu wajinga kama nyie mpo wengi
Ndege za community zilikufa toka 2008. Hazikudumu kwenye soko, ndani ya mwaka mmoja tu zikaacha biashara hiuo hiyo 2008, hauhusiani na kukufuliwa kwa ATCL wakati wa maguila alivyoingia jpm akaifufua air Tanzania ile comunity na fastjet zikapotea na watu wakalalamika sana
Hiyo community airline haikuwahi kupata faida,bahati aliyekuwa anaiendesha ni rafiki yangu na mimi na yeye ndio tulienda uturuki kukodi hizo ndege,hasara ambayo tulikuwa tunaipata per tiket per person per trip tulikuwa tunaidia kwa njia fulani,sasa baada ya huyo mwenye huo mradi alipotumbuliwa basi tukakosa njia ya kufidia hasara na ndipo mradi ukayeyuka yeyuuuuuuMwanzoni ilikuwepo ndege iliitwa comunity airlines ile ndege ilikuwa ina route nauli hadi sh 90000 watu walikuwa wanajaza vibaya na watu wakaona ni mkombozi na ilikuwa inajiendesha kwa faida kwa nauli hiyo hiyo na ilikuwa ni airbus
Ikaja fastjet now walikuwa na nauli ndogo na ndege ilikuwa inagombaniwa
ila alivyoingia jpm akaifufua air Tanzania ile comunity na fastjet zikapotea na watu wakalalamika sana
Maana air Tanzania ilikuja na nauli kubwa watu wakashindwa kuaford mwisho wa siku ndege zikawa zinapaa tupu CAG akawa anakuja na taarifa za hasara kila mwaka shirika linakula hasara
Sasa sijui ATcl itakuwa imepata CEO mya au mshauri wa biashara naona now wamelijua tatizo wakaja na mkakati wa kupunguza nauli na hili wakiendelea nalo now shirika litaanza kufanya kazi kwa faida
Now naona nauli ya dar zanzibar ni sh 88,000 ingia kwenye website yao now
Leo asubuhi Dar arusha ilikuwa sh 150,000
Usiiku nliona tiketi za mwanza 120,000 hadi 99,000
Now naona wamedhamiria kuliko ndege zisafiri zikiwa tupu ni heri wapunguze nauli watu wajae na hili litafanya kazi
Kwa mfano jana nimeenda mwanza kwa sh 120000 jioni nikageuza kwa sh 99000
Usiku nimeona tiketi za mbeya sh 99000, na naona shirika lina ndege kila route wapo aisee
Lala salama John pombe magufuli [emoji1317]
Hao usijidanganye, bei zao zinabadirika kila muda.Mkuu unafanyaje ili kupata hiyo bei ya offer, nikiingia naona bei zile zile tu🙆♂️
Sawa ni fastjetHiyo community airline haikuwahi kupata faida,bahati aliyekuwa anaiendesha ni rafiki yangu na mimi na yeye ndio tulienda uturuki kukodi hizo ndege,hasara ambayo tulikuwa tunaipata per tiket per person per trip tulikuwa tunaidia kwa njia fulani,sasa baada ya huyo mwenye huo mradi alipotumbuliwa basi tukakosa njia ya kufidia hasara na ndipo mradi ukayeyuka yeyuuuuuu
Huu siyo muandiko wa Diaro, you just pretending.Hiyo community airline haikuwahi kupata faida,bahati aliyekuwa anaiendesha ni rafiki yangu na mimi na yeye ndio tulienda uturuki kukodi hizo ndege,hasara ambayo tulikuwa tunaipata per tiket per person per trip tulikuwa tunaidia kwa njia fulani,sasa baada ya huyo mwenye huo mradi alipotumbuliwa basi tukakosa njia ya kufidia hasara na ndipo mradi ukayeyuka yeyuuuuuu
Sasa Magufuli alale salama kwa lipi? Kwa kuwaondoa fast jet au kwa lipi?Mwanzoni ilikuwepo ndege iliitwa fast jet ile ndege ilikuwa ina route nauli hadi sh 90000 watu walikuwa wanajaza vibaya na watu wakaona ni mkombozi na ilikuwa inajiendesha kwa faida kwa nauli hiyo hiyo na ilikuwa ni airbus
ila alivyoingia jpm akaifufua air Tanzania ile fastjet zikapotea na watu wakalalamika sana
Maana air Tanzania ilikuja na nauli kubwa watu wakashindwa kuaford mwisho wa siku ndege zikawa zinapaa tupu CAG akawa anakuja na taarifa za hasara kila mwaka shirika linakula hasara
Sasa sijui ATcl itakuwa imepata CEO mya au mshauri wa biashara naona now wamelijua tatizo wakaja na mkakati wa kupunguza nauli na hili wakiendelea nalo now shirika litaanza kufanya kazi kwa faida
Now naona nauli ya dar zanzibar ni sh 88,000 ingia kwenye website yao now
Leo asubuhi Dar arusha ilikuwa sh 150,000
Usiiku nliona tiketi za mwanza 120,000 hadi 99,000
Now naona wamedhamiria kuliko ndege zisafiri zikiwa tupu ni heri wapunguze nauli watu wajae na hili litafanya kazi
Kwa mfano jana nimeenda mwanza kwa sh 120000 jioni nikageuza kwa sh 99000
Usiku nimeona tiketi za mbeya sh 99000, na naona shirika lina ndege kila route wapo aisee
Lala salama John pombe magufuli [emoji1317]
Hahahahahaaaaa tushajuwa ulikuwa unapanda ndege haha 😄 😆 😂Cheap flight ilikuwa ni Fastjet, Dar Mwanza Dar Tsh 140,000/= nimesafiri sana kwa nauli hiyo ili mradi ukate tiketi mapema.
Kama Atcl wamegunduwa tatizo basi ngoja tuone.
Tuwekee uthibitisho wa screenshotHao usijidanganye, bei zao zinabadirika kila muda.
Nilikuwa na trip ya Dar Lagos Dar nauli ilikuwa chini kesho yake nafanya booking imeshoot mpaka 1.9 M.
Ilikuwa lazima nisafiri sikuwa na option.