Kwa sasa ukishindwa kupanda ndege basi tena

Magufuli ndiye aliyeifuta fastjet ili kuondoa ushindani kwa ndege za atcl, mindege ile ilikodishwa kutoka kwa shirika la ndege la South africa, magu alipambana nalo hadi akaliua,kwa hilo tulimlaumu sana magu humu, na ukiacha tu issue ya kibiashara inasemekana magu hakuwa na uhusiano mzuri na mwenzake huyo aliyeianzisha fastjet.
 
Magufuli si alishindwa kuliendesha,

Sasa hivi linakwenda vzr chini ya Samia
 
Akili zitakuwa zimeanza kurudi.
Ati nauli 380k halafu abiria ni 8 tu wakati ukipiga nauli ya 100k hadi 120 abiria wanakuwa 100+ na route inakulipa.

Aliyewaroga viongozi atakuwa amewalegezea kidogo ndio maana mwingine ameomba radhi kwa kukata internet na kuua.
 
Yes wameshtukia
 
Muda mwingine huwa ni mazoea. Unafikiri wanaonunua soda kwa sh.3000 hotelini hawapajui duka la mangi?
 
Magufuli ndiye aliyeifuta fastjet ili kuondoa ushindani kwa ndege za atcl, mindege ile ilikodishwa kutoka kwa shirika la ndege la South africa, magu alipambana nalo hadi akaliua,kwa hilo tulimlaumu sana magu humu, na ukiacha tu issue ya kibiashara inasemekana magu hakuwa na uhusiano mzuri na mwenzake huyo aliyeianzisha fastjet.
Alifanya uamuzi wa kijinga sana kwa hili
 
Ndio sababu naichukia Ccm yani mtu anaona ndege ni kitu cha ajabu.

Mimi usafiri ambao najisikia comfotable ni treni na siyo ndege.

Ndio maana namuonaga Kikwete ana roho ngumu kwelikweli kila siku yuko angani, tena trip za Marekani kuikatisha Antrantic ocean ni masaa 8.

Kwangu mimi ndege siyo issue na sipendi kabisa ndege.
Mimi sijui kwanin nikikaa kwenye bus V.I.P tena iwe scania hua naenjoy balaa
 
Ila umaskini wa Afrika, jau sana. Just imagine kupanda ndege ni mafanikio!
Huu uzi umeuvamia kichwa kichwa soma vizuri mimi nimeelezea kuwa atcl wameshusha nauli sasa dar mwanza 99k hadi 120 alafu unaenda kukalia mchina masaa 16 arznini how mambo ya mafanikio sijayaongea nyie ndio washirikina wenyewe humu
 
Asilimia kubwa ya watanzania hawajawahi hata kupanda ndege.

Kuna ambao hata kufika airport hawajawahi.

Ndio maana watanzania wengi wakikwea pipa first time, wana amini ni ishara ya mafanikio.

U get that?
 
Back
Top Bottom