Kwa Ruge sawa kwa Ndesamburo hapana

Rais anatoa Ndege kusafirisha mwili wa marehemu Ruge na waombolezaji kwenda Bukoba kwa ajili ya maziko

Kwa hali hii inaonyesha msiba huu unakuwa kama Ruge ni kiongozi wa serikali au amewahi kufanya kazi serikalini

Cha kusikitisha wakati aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Mzee Ndesamburo,wananchi waliomba uwanja ili kuweza kumuaga rafiki yao kipenzi ,aliyekuwa kiongozi wao,kiserikali na kichama lakini jeshi la polisi liliwazuia wananchi hao

Ruge heshima kila mtaa lakini Nkidesamburo hapana

Only Tanzania kuna mambo kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanadamu tukipendana mambo kama haya ni nadra kujitokeza!
 
Ndiyo ubaguzi wa hawa mainterahamwe unaoiangamiza nchi.

Yani Mzee Ndesamburo alinyimwa uwanja wa vumbi , Ruge yeye kapewa kabisa Ukumbi Na Ndege ! Aloooh! JIWE Mungu anakuona ujue

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
Rais anatoa Ndege kusafirisha mwili wa marehemu Ruge na waombolezaji kwenda Bukoba kwa ajili ya maziko

Kwa hali hii inaonyesha msiba huu unakuwa kama Ruge ni kiongozi wa serikali au amewahi kufanya kazi serikalini

Cha kusikitisha wakati aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Mzee Ndesamburo,wananchi waliomba uwanja ili kuweza kumuaga rafiki yao kipenzi ,aliyekuwa kiongozi wao,kiserikali na kichama lakini jeshi la polisi liliwazuia wananchi hao

Ruge heshima kila mtaa lakini Ndesamburo hapana

Only Tanzania kuna mambo kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Rais ameamua kutoa rambirambi yake kwa kulipia ndege ili kusafirisha maziko ya Ruge kuna haja gani ya kuonyesha risiti hadharani , acha ushamba kukodi ndege sio kitu kikubwa kiviiile kiasi kwamba wewe kikutoe roho,
 
Mh. Rais Kama katoa Fedha kuwapa ATC kusafirisha Msiba wa Ruge nampongeza kwa hatua hiyo LAKIN Kama katoa 'dokezo' la Maelekezo tu ATC wasafirishe Msiba si Sawa kwa Kuwa Maelekezo Na Miongozo ya namna hiyo ndio yanaua Mashirika ya Umma Mara zote
Hata kama ni Pesa katoa utakuta ndo zile ambazo kwenye ukaguzi hazijulikani zimetumikaje! R.I.P Ruge, Wote kwa Mola twarejea
 
Rais anatoa Ndege kusafirisha mwili wa marehemu Ruge na waombolezaji kwenda Bukoba kwa ajili ya maziko

Kwa hali hii inaonyesha msiba huu unakuwa kama Ruge ni kiongozi wa serikali au amewahi kufanya kazi serikalini

Cha kusikitisha wakati aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Mzee Ndesamburo,wananchi waliomba uwanja ili kuweza kumuaga rafiki yao kipenzi ,aliyekuwa kiongozi wao,kiserikali na kichama lakini jeshi la polisi liliwazuia wananchi hao

Ruge heshima kila mtaa lakini Ndesamburo hapana

Only Tanzania kuna mambo kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Una wowowoo kubwaa!!
 
Mambo mengine hata mkihoji vipi huwezi kupata jibu la wazi.
Umuhimu wa Ruge serikalini wanaujua wakubwa wa nchi.
Sisi wananchi wa kawaida tutaishia kulalama tu.
Nani ajuaye labda boss Ruge alikuwa na cheo cha siri ? au baba yake le profeseli alikuwa nacho? au alikuwa undercover?
Nani ajuaye labda boss alikuwa kada wa chama? au mdhamini ?
Nani ajuaye labda wana undugu kifamilia, au kiukoo?

Wewe fikiria mkuu wa nchi ndio anakuwa wa kwanza kutupa exclusive!!
Fikiria waziri mkuu anatinga mikocheni, haujakaa sawa mama Salma anatia timu, kugeuka kulia mstaafu JK yupo bado mseme ni mtu mdogo huyo?!?! Hapo achilia mbali mawaziri waliofika msibani.

Fikiria Konki mropokaji akajichanganya Waziri anatia neno, boss angekuwa mtu mdogo mdogo nani angetoa tamko juu yake!?!
Acheni ndege zitumike, jamaa hakuwa mtu mdogo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waarabu wanaojilipua sio wajinga,mambo ya kibaguzi na kijinga kama haya. Tena saiv hakuna maadui wa serekali kama watu wa kaskazini,kila mtu anaoetoka kule ni mwiz ila kanda ya ziwa ni wapiga kira wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo watu wa kaskazini wapi wewe? usijifiche kwenye kaskazini , kaskazini ina makabila mengi mbona yako vizuri hilo lako usilifiche kwenye ukaskazini sema labda hilo kabila lako, wakaskazini wengine achana nao na uwakome kujificha kwenye kichaka chao.
 
Hapo kwenye avatar ndivyo ulivyo?
Rais anatoa Ndege kusafirisha mwili wa marehemu Ruge na waombolezaji kwenda Bukoba kwa ajili ya maziko

Kwa hali hii inaonyesha msiba huu unakuwa kama Ruge ni kiongozi wa serikali au amewahi kufanya kazi serikalini

Cha kusikitisha wakati aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Mzee Ndesamburo,wananchi waliomba uwanja ili kuweza kumuaga rafiki yao kipenzi ,aliyekuwa kiongozi wao,kiserikali na kichama lakini jeshi la polisi liliwazuia wananchi hao

Ruge heshima kila mtaa lakini Ndesamburo hapana

Only Tanzania kuna mambo kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani chadema mlienda mazishi ya kanda ya ziwa kwenye Jimbo lenu kuomboleza na kuzika mamia ya wapiga kura wenu waliiokufa ajali ya meli? Mlifurika mazishi ya ndesamburo mtu mmoja mkaacha kwenda kufurika kwa mamia waliokufa ajali ya meli kisa tu sio wa kabila yenu mnafikiri tumesahau?
Hizi propangada hebu kawadanganye Lumumba huko,kila mtu aliona msiba ulisemwa usiwe wa kisiasa ila ccm mkahodhi msiba na minguo yenu ya kijani
 
Back
Top Bottom