Kwa Ruge sawa kwa Ndesamburo hapana

Kwa Ruge sawa kwa Ndesamburo hapana

Kwani chadema mlienda mazishi ya kanda ya ziwa kwenye Jimbo lenu kuomboleza na kuzika mamia ya wapiga kura wenu waliiokufa ajali ya meli? Mlifurika mazishi ya ndesamburo mtu mmoja mkaacha kwenda kufurika kwa mamia waliokufa ajali ya meli kisa tu sio wa kabila yenu mnafikiri tumesahau?
Kuna wakati nakuona mjinga wewe! Ila sikujua kuwa na upumbavu unao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wapinzani sio watu nchi hii. Umenifanya niwaze mbali kabisa. Na huu ndio ukweli
 
Back
Top Bottom