Kwa Ruge sawa kwa Ndesamburo hapana

Rais anatoa Ndege kusafirisha mwili wa marehemu Ruge na waombolezaji kwenda Bukoba kwa ajili ya maziko

Kwa hali hii inaonyesha msiba huu unakuwa kama Ruge ni kiongozi wa serikali au amewahi kufanya kazi serikalini

Cha kusikitisha wakati aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Mzee Ndesamburo,wananchi waliomba uwanja ili kuweza kumuaga rafiki yao kipenzi ,aliyekuwa kiongozi wao,kiserikali na kichama lakini jeshi la polisi liliwazuia wananchi hao

Ruge heshima kila mtaa lakini Ndesamburo hapana

Only Tanzania kuna mambo kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani chadema mlienda mazishi ya kanda ya ziwa kwenye Jimbo lenu kuomboleza na kuzika mamia ya wapiga kura wenu waliiokufa ajali ya meli? Mlifurika mazishi ya ndesamburo mtu mmoja mkaacha kwenda kufurika kwa mamia waliokufa ajali ya meli kisa tu sio wa kabila yenu mnafikiri tumesahau?
 
Acha wafu wazike wafu wao haaaaaa Duniani hakuna usawa bro !utaumia tu usawa huko kwenye kula,kwenda chooni na kuzaliwa na kufa hivo vingine ni mbwebwe tu na Mungu alijua aisee
 
Rais anatoa Ndege kusafirisha mwili wa marehemu Ruge na waombolezaji kwenda Bukoba kwa ajili ya maziko

Kwa hali hii inaonyesha msiba huu unakuwa kama Ruge ni kiongozi wa serikali au amewahi kufanya kazi serikalini

Cha kusikitisha wakati aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Mzee Ndesamburo,wananchi waliomba uwanja ili kuweza kumuaga rafiki yao kipenzi ,aliyekuwa kiongozi wao,kiserikali na kichama lakini jeshi la polisi liliwazuia wananchi hao

Ruge heshima kila mtaa lakini Ndesamburo hapana

Only Tanzania kuna mambo kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nchi zetu za africa zilivyo wakati mwingine
 
Ndiyo matumizi ya kodi zetu hizo.Ruge hakuwa mtumishi wa umma wakati kuna waraka wa siku hizi mtumishi eti akifiwa na mzazi serikali haitoi usafiri
 
N
Kumbuka wote wanatokea kanda ya Ziwa na zamani Chato ilikiwa wilaya na jimbo la Kagera.Pia huyu ni secret services wa Taifa...Pia mkuu ni mzila Nkende.
Pia mkuu amekulia Uswahilini BK
Nadhani huyu ndio amenena jambo wengine blablaaaa nyingiiiii (TISS) Haya acheni maswali ya ajabuajabu au mnataka kutangaziwaaaaa
 
Kwani chadema mlienda mazishi ya kanda ya ziwa kwenye Jimbo lenu kuomboleza na kuzika mamia ya wapiga kura wenu waliiokufa ajali ya meli? Mlifurika mazishi ya ndesamburo mtu mmoja mkaacha kwenda kufurika kwa mamia waliokufa ajali ya meli kisa tu sio wa kabila yenu mnafikiri tumesahau?
Safi naona awamu hii inazidi kufanikiwa kwa kutufanya watanzania tuanze to draw line kutegemeana na itikadi zetu na wapi tumetoka,slowly tunaanza kuwa ni taifa lenye watu wenye hasira na violent;kuzama kwa ile meli sio ajali ila ilikuwa ni uzembe wa watumishi wa serikali ya chama dola na hadi leo ripoti yake haijatoka na nini kimefanyika to remedy the situation ili next time isitokee nalo limekuwa kimya,ipo siku nchi tutagawana wilaya maana hata kuzikana sasa imeshaanza kuwa tabu.
 
Back
Top Bottom