Kwa Ruge sawa kwa Ndesamburo hapana

cutelove

JF-Expert Member
Oct 3, 2017
2,921
2,000
Rais anatoa Ndege kusafirisha mwili wa marehemu Ruge na waombolezaji kwenda Bukoba kwa ajili ya maziko

Kwa hali hii inaonyesha msiba huu unakuwa kama Ruge ni kiongozi wa serikali au amewahi kufanya kazi serikalini

Cha kusikitisha wakati aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Mzee Ndesamburo,wananchi waliomba uwanja ili kuweza kumuaga rafiki yao kipenzi ,aliyekuwa kiongozi wao,kiserikali na kichama lakini jeshi la polisi liliwazuia wananchi hao

Ruge heshima kila mtaa lakini Ndesamburo hapana

Only Tanzania kuna mambo kama hayaSent using Jamii Forums mobile app
 
Don Clericuzio

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
16,965

Hivi unauelewa muungano wa hao watu wawili?

Unajua kama Mama Mdogo wa taifa aliyefanya iwezekane ni huyu jamaa?
 
mulwanaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2017
4,177
2,000
Mh. Rais Kama katoa Fedha kuwapa ATC kusafirisha Msiba wa Ruge nampongeza kwa hatua hiyo LAKIN Kama katoa 'dokezo' la Maelekezo tu ATC wasafirishe Msiba si Sawa kwa Kuwa Maelekezo Na Miongozo ya namna hiyo ndio yanaua Mashirika ya Umma Mara zote
Bombandier zimekua mali ya mtu anauwezo wakuamua impeleke nani na ifanye nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
107,352
2,000
Nina hakika hakutoa hata senti au kama katoa basi iwekwe hadharani katoa kiasi gani kwenda na kurudi na katoa kutoka fungu lipi.

Mh. Rais Kama katoa Fedha kuwapa ATC kusafirisha Msiba wa Ruge nampongeza kwa hatua hiyo LAKIN Kama katoa 'dokezo' la Maelekezo tu ATC wasafirishe Msiba si Sawa kwa Kuwa Maelekezo Na Miongozo ya namna hiyo ndio yanaua Mashirika ya Umma Mara zote
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
6,237
2,000
Rais anatoa Ndege kusafirisha mwili wa marehemu Ruge na waombolezaji kwenda Bukoba kwa ajili ya maziko

Kwa hali hii inaonyesha msiba huu unakuwa kama Ruge ni kiongozi wa serikali au amewahi kufanya kazi serikalini

Cha kusikitisha wakati aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Mzee Ndesamburo,wananchi waliomba uwanja ili kuweza kumuaga rafiki yao kipenzi ,aliyekuwa kiongozi wao,kiserikali na kichama lakini jeshi la polisi liliwazuia wananchi hao

Ruge heshima kila mtaa lakini Ndesamburo hapana

Only Tanzania kuna mambo kama hayaSent using Jamii Forums mobile app
Tujifinze kuto kuwa na mihemuko tupate pia elimu za nyakati
 
Wyatt Mathewson

JF-Expert Member
Dec 22, 2017
10,855
2,000
Rais anatoa Ndege kusafirisha mwili wa marehemu Ruge na waombolezaji kwenda Bukoba kwa ajili ya maziko

Kwa hali hii inaonyesha msiba huu unakuwa kama Ruge ni kiongozi wa serikali au amewahi kufanya kazi serikalini

Cha kusikitisha wakati aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Mzee Ndesamburo,wananchi waliomba uwanja ili kuweza kumuaga rafiki yao kipenzi ,aliyekuwa kiongozi wao,kiserikali na kichama lakini jeshi la polisi liliwazuia wananchi hao

Ruge heshima kila mtaa lakini Ndesamburo hapana

Only Tanzania kuna mambo kama hayaSent using Jamii Forums mobile app

Ndio jamhuri ya manyani mkuu!
 
BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
107,352
2,000
Ife mara ngapi Mkuu it’s just a matter of time. Tutege masikio. Huwezi kununua ndege bila ya kuwa na strategies za kuhakikisha ndege hizo zinakuwa profitable. Nani anaenda Zimbabwe Mkuu nchi ambayo uchumi wake uko hoi kwa miaka mingi sana?

Kama Ni Maelekezo tu Basi tujiandae kwa sanda maana ATC itakufa kabla haijavunja ungo
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom