Kwa Ruge sawa kwa Ndesamburo hapana

Kwa Ruge sawa kwa Ndesamburo hapana

Rais anatoa Ndege kusafirisha mwili wa marehemu Ruge na waombolezaji kwenda Bukoba kwa ajili ya maziko

Kwa hali hii inaonyesha msiba huu unakuwa kama Ruge ni kiongozi wa serikali au amewahi kufanya kazi serikalini

Cha kusikitisha wakati aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Mzee Ndesamburo,wananchi waliomba uwanja ili kuweza kumuaga rafiki yao kipenzi ,aliyekuwa kiongozi wao,kiserikali na kichama lakini jeshi la polisi liliwazuia wananchi hao

Ruge heshima kila mtaa lakini Ndesamburo hapana

Only Tanzania kuna mambo kama haya

Sent using Jamii Forums mobile app
usimfananishe Ruge na vitu vya kijinga
 
Kumbuka wote wanatokea kanda ya Ziwa na zamani Chato ilikiwa wilaya na jimbo la Kagera.Pia huyu ni secret services wa Taifa...Pia mkuu ni mzila Nkende.
Pia mkuu amekulia Uswahilini BK

Haa haaa Mzila Nkende…..😵😵
 
Ife mara ngapi Mkuu it’s just a matter of time. Tutege masikio. Huwezi kununua ndege bila ya kuwa na strategies za kuhakikisha ndege hizo zinakuwa profitable. Nani anaenda Zimbabwe Mkuu nchi ambayo uchumi wake uko hoi kwa miaka mingi sana?
Haahahah, huko Zimbabwe JIWE ataenda mwenyewe akishastaafu

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Yani Mzee Ndesamburo alinyimwa uwanja wa vumbi , Ruge yeye kapewa kabisa Ukumbi Na Ndege ! Aloooh! JIWE Mungu anakuona ujue

Sent from my Iphone using Tapatalk
 
huu msiba wanataka watu wasiwe na machungu
Kama mimi hadi sasa uchungu umeshayeyuka wote! Na nnikikosa siti kwenye hii ndege ya magufuli basi naomba wa kanda yake waendelee kusepa huenda siku moja nikapata nafasi ya bure kwenda kutalii chattle city!
 
Katika nchi hii yenye makabila 120 ni kabila Moja tu lenye hasira sana na CCM mengine 119 hayana shida.Haya endeleeni
Kwa nn unawachukia wachaga? Unamaanisha uchagan hakuna mwenyekiti, dawani, wala mbunge wa CCM? Kama wapo wamepigiwa kura na nan? Iringa, mbeya, morogoro, dar huko nako kote kuna wenyeviti, nadiwan na wabunge wa chadema nako huko kote wanaishi wachaga au wachaga ndo waliochaguliwa au unamaanisha upinzani wote bungeni wachaga.
Chuku, udini, ukabila unajengwa na watu kama nyinyi na wenzenu unao wawakilisha.
Kama kabila lina maendeleo usiingiwe na chuki ila na ww simama ulifanishe kabila lako kwa maana maendeleo ya kabila huletwa na wanakabila wenyew chuki zenu zinatokana na maendeleo sio kingine mnaingiza kwenye siasa na sehemu nyingine hii ni mbaya sana kwa Taifa

Wivu! kwann wachaga Wana maendeleo

Ova

Hawa ccm ni wivu tu unawasumbua na hao hao ndo wanaleta ukabila

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waarabu wanaojilipua sio wajinga,mambo ya kibaguzi na kijinga kama haya. Tena saiv hakuna maadui wa serekali kama watu wa kaskazini,kila mtu anaoetoka kule ni mwiz ila kanda ya ziwa ni wapiga kira wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We zako kugegedwa tu,siasa waachie kina salary slip
 
Ruge alikua anafanya kazi za Chama na ata wakati wa kampeni alishiriki kwa ukaribu sana
 
Rais Magufuli kakodi Ndege kwa siku ya Tarehe 3 na 4 Machi kwa ajili ya kusafisha Watu watakao kwenda kwennye mazishi ya Ruge Mutahaba kwa kulipa Laki 600000 kwa kila atakekwenda Bukoba.

Tupunguze wivu!
 
Back
Top Bottom