Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,512
- 4,710
Sure?Hivi unauelewa muungano wa hao watu wawili?
Unajua kama Mama Mdogo wa taifa aliyefanya iwezekane ni huyu jamaa?
Sure?Hivi unauelewa muungano wa hao watu wawili?
Unajua kama Mama Mdogo wa taifa aliyefanya iwezekane ni huyu jamaa?
kujua sasa......Mh. Rais Kama katoa Fedha kuwapa ATC kusafirisha Msiba wa Ruge nampongeza kwa hatua hiyo LAKIN Kama katoa 'dokezo' la Maelekezo tu ATC wasafirishe Msiba si Sawa kwa Kuwa Maelekezo Na Miongozo ya namna hiyo ndio yanaua Mashirika ya Umma Mara zote
Tanzania ina makabila 120 kabila lenye matatizo liko Moja tu.Sema hilo kabila ndio litajikuta likitengwa usijifiche kwenye makabila 119 .Hayo yako vizuri tuSafi naona awamu hii inazidi kufanikiwa kwa kutufanya watanzania tuanze to draw line kutegemeana na itikadi zetu na wapi tumetoka,slowly tunaanza kuwa ni taifa lenye watu wenye hasira na violent;kuzama kwa ile meli sio ajali ila ilikuwa ni uzembe wa watumishi wa serikali ya chama dola na hadi leo ripoti yake haijatoka na nini kimefanyika to remedy the situation ili next time isitokee nalo limekuwa kimya,ipo siku nchi tutagawana wilaya maana hata kuzikana sasa imeshaanza kuwa tabu.
Sure?
Katika nchi hii yenye makabila 120 ni kabila Moja tu lenye hasira sana na CCM mengine 119 hayana shida.Haya endeleeniRuge ni CCM .Ndesamburo hakuwa CCM.Hii nchi ni ya CCM tu.
Tunamuomba Mungu ailaze roho ya Ndesa Pesa mahali pema peponi aminaRais anatoa Ndege kusafirisha mwili wa marehemu Ruge na waombolezaji kwenda Bukoba kwa ajili ya maziko
Kwa hali hii inaonyesha msiba huu unakuwa kama Ruge ni kiongozi wa serikali au amewahi kufanya kazi serikalini
Cha kusikitisha wakati aliyekuwa mbunge wa Moshi mjini Mzee Ndesamburo,wananchi waliomba uwanja ili kuweza kumuaga rafiki yao kipenzi ,aliyekuwa kiongozi wao,kiserikali na kichama lakini jeshi la polisi liliwazuia wananchi hao
Ruge heshima kila mtaa lakini Ndesamburo hapana
Only Tanzania kuna mambo kama haya
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali haipati hasara - MagufuliMh. Rais Kama katoa Fedha kuwapa ATC kusafirisha Msiba wa Ruge nampongeza kwa hatua hiyo LAKIN Kama katoa 'dokezo' la Maelekezo tu ATC wasafirishe Msiba si Sawa kwa Kuwa Maelekezo Na Miongozo ya namna hiyo ndio yanaua Mashirika ya Umma Mara zote
Inaelekea jpm kila mtu ni ndugu sasa.Akija kutoa msaada kwa MISULI bado bavicha watakuja kusema unajua anko wa Jpm kaoa mtoto wa shangazi wa bamdogo wake MISULI ndio maana kamsaidia.Hivi unauelewa muungano wa hao watu wawili?
Unajua kama Mama Mdogo wa taifa aliyefanya iwezekane ni huyu jamaa?
Inaelekea jpm kila mtu ni ndugu sasa.Akija kutoa msaada kwa MISULI bado bavicha watakuja kusema unajua anko wa Jpm kaoa mtoto wa shangazi wa bamdogo wake MISULI ndio maana kamsaidia.
The problem with the world is that the intelligent people are full of doubts, while the stupid ones are full ofconfidence.
Hakuna habari za kuelewa hapo zaidi ya chuki na udhandiki. Nani hajui kuwa kila analofanya jpm lzm mtafute propaganda za kipuuz?Huwezi kuelewa kilichoandikwa.
Wahusika wameelewa.
Bora kama umegundua hili.Katika nchi hii yenye makabila 120 ni kabila Moja tu lenye hasira sana na CCM mengine 119 hayana shida.Haya endeleeni
na ndio maana Lukuvi aliingia kanisani kuaga mwili wa Ndesamburo akiwa na defenda 2 zilizojaa askari kibao wenye bundukiKatika nchi hii yenye makabila 120 ni kabila Moja tu lenye hasira sana na CCM mengine 119 hayana shida.Haya endeleeni
Tulikosa ndege ya Eitisielo kutupelejaKwani chadema mlienda mazishi ya kanda ya ziwa kwenye Jimbo lenu kuomboleza na kuzika mamia ya wapiga kura wenu waliiokufa ajali ya meli? Mlifurika mazishi ya ndesamburo mtu mmoja mkaacha kwenda kufurika kwa mamia waliokufa ajali ya meli kisa tu sio wa kabila yenu mnafikiri tumesahau?
Meko alikwenda?Kwani chadema mlienda mazishi ya kanda ya ziwa kwenye Jimbo lenu kuomboleza na kuzika mamia ya wapiga kura wenu waliiokufa ajali ya meli? Mlifurika mazishi ya ndesamburo mtu mmoja mkaacha kwenda kufurika kwa mamia waliokufa ajali ya meli kisa tu sio wa kabila yenu mnafikiri tumesahau?