unaposema akamatwe tu ni nan atakayemkamata na mtu yupo nchin kwake na majesh yake yanamsapoti????????
Ndiyo sababu nikasema makomando wachache sana wanaweza kufanikisha bila hata ya kumwaga damu, na bila hata vita.
Wala haihitaji matumizi ya nguvu zaidi ya ushirikishi wa akili na nia. Kama unataka kujua undani wa hili, ni pm. Huwa sipendi kuanika mbinu za kivita hadharani kwa maslahi mapana ya taifa langu.