Kwa Ramani ya Gambia ilivyo ECOWAS wataipiga ndani ya one week!!

Wamuache atawale daima , wasije wakafanya makosa kama ya Libya
 
Jammeh hana mpango wa kuanzisha vita, ila nchi zenye kupenda vita kama Senegal ndizo ambao zinakuwa kimbelembele
Eçowas wajinga sana.. nigeria wameshindwa kuwazibiti wamamgambo vita wstaweza ujinga mtupu
 
Miaka ishirini inatosha kwa mtu mmoja. Akiondoka sasa hivi atasaidia sana nchi yate and watu wengi wasikufe. Kama ukuweza kuendeleza nchi kwa miaka ishirini hawezi kuisaida hata kama wakimpa miaka arubaini hata fanya chochote.

Wagambia kila siku wanakufa wakitaka kwenda ulaya, engi wanaishi senegal, maisha magumu sana. Kwanini hataki kumpa mtu mwingine nafasi? Watu wangapi wataendelea kufa kwa sababu ya umaskini mkubwa akiendelea kuwa rais. Inabidi wamtoe yeye mwenyewe bila kuwaumiza wananchi wagambia.
 
Kuzungukwa siyo kigezo cha kupigwa bali ni faida inayomrahisishia kuwapiga kirahisi wanaomzunguka. Mmoja anawapiga 10 kirahisi kwa vile yeye anachagua ampige wa kulia halafu wa kushoto, mbele ama nyuma wao wanabaki kupigana wao kwa wao.
 
Israel imezungukwa na nchi hasimu ila dakika chache tu wakilianzisha anawachakaza. Kwa Gambia ata mm nimewachoka ma nkurunzinza, wasipoiba matokeo ya uchaguzi basi watagoma kutoka. Nataman ata hapa Africa mashariki tuwe na kijeshi kama ecowas, pia tungekua na tume huru ata huyu mh hasingekua madarakani.
 
Hivi hakuna njia nyingine yoyote ya kumfanya Jammeh aachie madaraka zaidi ya kumvamia kijeshi?
Gambia ni nchi ndogo sana na uchumi wake ni wa biskuti, mkiwawekea vikwazo miezi mitatu tu ni lazima uvunjike.
Kimkakati uvamizi wa kijeshi ni njia ya mwisho endapo njia nyingine zimeshindwa.
Wanaweza kuvamia The Gambia na kusababisha majanga makubwa zaidi hata ya Jammeh.
njia ipo tu sema yeye ndio hataki. haya haya mambo ndio yalimfanya Gbagbo ajifishe na kukamatwa shimoni kama kuku. wale jamaa wa tochi walishammulika sema wako bize tu, ngoja kiranja wao wa dunia aapishwe ndio utajua. huyo mwepesi sana kama mbegu ya ubuyu
 
Kwa nini hawa ecowas hawaji kutuondolea sheni...kinganganii tu ..
 
Senegal wameshasogea mpakani. Senegal chini ya Ecowas na ikisadiwa na UN security Council ndio imepewa mandate ya kuongoza kumng'oa chura pangoni. kijiografia Senegal imeizunguka the gambia. at the mean time Nigeria wako wanaandaa kupeleka ndege zao za kijeshi...
 
Kuzungukwa siyo kigezo cha kupigwa bali ni faida inayomrahisishia kuwapiga kirahisi wanaomzunguka. Mmoja anawapiga 10 kirahisi kwa vile yeye anachagua ampige wa kulia halafu wa kushoto, mbele ama nyuma wao wanabaki kupigana wao kwa wao.
umeongea vizuri Ila sidhani Kama wazo lako litawezekana kwa urahisi.
na vyenyewe wanataka kumfanya yahaya wanataka iwe mfano kwa viongozi wote wanao penda kung'ang'ania madaraka.
 
Back
Top Bottom