Kwa raha Zao

Haha, ndo maana wazungu wanatudharau sana.
Tunapenda ulimbukeni kupitiliza....haha

Hivi umeshawahi muona waziri mkuu wa uingereza anatoka uingereza kwenda Japan au china kupiga picha na wasanii, wanamichezo au kujipitisha kwa staili hii..

Haha, nyuma ya pazia wazungu watakuwa wanacheka sana viongozi wetu

Ulimbukeni wao ndo unawatuma hivyo, bora hata lingekuwa kombe la dunia ambalo hata kwenye mchakato wa kuliwania tunakuwepo ila UEFA? tena tupo mbali nalo kabisa si bora wawe wanawapokea hao wanaoshinda toka Big Brother Afrika!?
 
Au wangetuletea kombe la klabu bingwa Africa ambalo kila tukitia mguu tunatolewa na wangelileta pale jangwani make wao ndo vibonde zaidi.Labda wangeliona wangehamasika.
 
Back
Top Bottom