Kwa raha Zao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa raha Zao

Discussion in 'Jamii Photos' started by Genderi, Mar 29, 2012.

 1. Genderi

  Genderi Senior Member

  #1
  Mar 29, 2012
  Joined: Dec 26, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mazoweya yanatabu.jpg Mambo ya championi ligi ndio hayo mseje mkasema ooo sio kweli mnaongea sana wa Tz ,jioneeni wenyewe kwa raha zao.
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Mar 29, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kwani michakato ya vazi la Taifa imeshaisha mpaka wahamie huko UEFA?
   
 3. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #3
  Mar 29, 2012
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mtaishia hivyohivyo tu.
   
 4. Gwankaja Gwakilingo

  Gwankaja Gwakilingo JF-Expert Member

  #4
  Mar 29, 2012
  Joined: Jan 26, 2012
  Messages: 1,963
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hivi hii inafaida gani kwetu kama sio unyani tu huu kijiko tu cha cecafa kinatusumbua hakuna mikakati yoyote ya kufanikisha soccer yetu kazi kushadadia ya wenzetu hovyoooooooooo
   
 5. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #5
  Mar 29, 2012
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
 6. c

  collezione JF-Expert Member

  #6
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Haha, ndo maana wazungu wanatudharau sana.
  Tunapenda ulimbukeni kupitiliza....haha

  Hivi umeshawahi muona waziri mkuu wa uingereza anatoka uingereza kwenda Japan au china kupiga picha na wasanii, wanamichezo au kujipitisha kwa staili hii..

  Haha, nyuma ya pazia wazungu watakuwa wanacheka sana viongozi wetu
   
 7. c

  collezione JF-Expert Member

  #7
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Obama alipewa offer special invitation na FIFA, during SA world cup final. Lakini alikataa.

  Sipati picha mkulu wetu na yeye angealikwa. Angewasili hata wiki nzima before mashindano hayajaanza..
   
 8. SUCRE MARIACH

  SUCRE MARIACH Senior Member

  #8
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 27, 2010
  Messages: 106
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Yaani nashindwa kuelewa mantiki ya kuleta mfano wa kombe la UEFA halafu jamaa wanaacha kufanya shughuli za maana na kwenda kupiga picha...!!!!Vipi kuhusu nchi nyingine huwa wanafika kweli au ni hapa hapa shamba la bibi..?????Naomba nifahamishwe kama kuna anayefahamu zaidi wakuu wangu...:thinking:
   
 9. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #9
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  LMfAO!
   
 10. SIMBA WA TARANGA

  SIMBA WA TARANGA JF-Expert Member

  #10
  Mar 30, 2012
  Joined: Feb 14, 2012
  Messages: 992
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Im provoked by this sh****t.
   
 11. c

  collezione JF-Expert Member

  #11
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Haha, hapo wenzako kupiga picha na kombe wamefurahi vibaya, si unajua maujiko tena...

  Hata Wangeambiwa waache kazi waanze kulitembeza mitaani, wasingekataa..
   
 12. c

  collezione JF-Expert Member

  #12
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 360
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 45
  Haha Serikali hamna kazi bwana. Kazi ya viongozi ni kuzindua majengo mikutano, kupokea wageni. Au kupiga picha kama hivi.

  Wewe huoni rahisi kila siku yuko Angani. Kungekuwa na assignment nyingi. Huo muda ungetoka wapi?

  Ndo maana hata mikataba haisomwi.. Na kila siku Tanzania inaingia kwenye mikataba mibovu.

  Wako bize na kuzindua majengo, kusafiri na kupiga picha
   
 13. Mshuza2

  Mshuza2 JF-Expert Member

  #13
  Mar 30, 2012
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 4,114
  Likes Received: 1,743
  Trophy Points: 280
  Damn! This is too much! eti Tanzania ni miongoni mwa nchi chache Afrika zilizopata BAHATI ya kutembelewa na kombe hilo! sababu ni rahisi,SHAMBA LA BIBI!
   
 14. k

  kiparah JF-Expert Member

  #14
  Mar 30, 2012
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Hii nchi hii, haya!
   
 15. sister

  sister JF-Expert Member

  #15
  Mar 30, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,028
  Likes Received: 3,938
  Trophy Points: 280
  tena hapo ukute walienda kufanya shopping ya nguo kwa ajili tu ya kupiga picha na hilo kombe.
   
 16. Makindi N

  Makindi N JF-Expert Member

  #16
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 1,068
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Wallah, akutukanae hakutafutii tusi!
   
 17. jchofachogenda

  jchofachogenda JF-Expert Member

  #17
  Mar 30, 2012
  Joined: Jan 8, 2012
  Messages: 507
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Hii picha imeniongezea stress hasa ukizingatia mwenendo wa soka letu. Naumia sana.
   
 18. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #18
  Mar 30, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Naona nao wanauza sura
   
 19. Zemu

  Zemu JF-Expert Member

  #19
  Mar 30, 2012
  Joined: Jun 5, 2008
  Messages: 517
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Pumbafuuuu sana, yaani mtu mzima na mavuzi yako umepiga picha mbele ya kombe ambalo ni ndoto kulichukua, hizi si dharau hz, mi sijui watz tuna nini, kweli tunapenda umaarufu kuliko kazi.Hta wewe mtoto wa mkulima unafanya ukenge huo? Pumbafuuuu
   
 20. Shomari

  Shomari JF-Expert Member

  #20
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,107
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  upumbafu kabisa! ukute hapo yametumika mabilioni kulipokea hilo kombe. yaani sijui tutaelimika lini.
   
Loading...