kimange
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,339
- 1,299
Kama kwenye iyo avatar ni wewe mkuu..passport nakupa bureVY canis majoris
Nataka kwenda huko...![]()
![]()
![]()
![]()
Passport na visa ninayo...
Kama kwenye iyo avatar ni wewe mkuu..passport nakupa bureVY canis majoris
Nataka kwenda huko...![]()
![]()
![]()
![]()
Passport na visa ninayo...
Jua linatoa mwanga kwa kubadilisha hydrogen kwenda helium kwahy jua halina solid surface ila lina gas tupu na litapukutika miaka bil 5 ijayo from nowAtasema jua huwa linakwenda kulala au dereva wake huweka switch off, haliangazi tena. Hoja zake ni nyepesi sana.
Atasema jua huwa linakwenda kulala au dereva wake huweka switch off, haliangazi tena. Hoja zake ni nyepesi sana.
Atasema jua huwa linakwenda kulala au dereva wake huweka switch off, haliangazi tena. Hoja zake ni nyepesi sana.
Ni upendo mkuu na wa ajabuMi nadhani kama kweli naye yupo, hawezi kunifikiria kiumbe mdogo kama mimi. Na nadhani kuna viumbe vingine vingi saana nje ya ulimwengu.
Yaah typing error you are correctUmenivuruga namba nne north korea iko jupiter?? Ingawa kwenye picha wameandika north america but mwandishi na ww ulie copy kuwen makin coz I smell some lies over there
Its orbital spheroidDuh huwa nakubali dunia ni duara pale tu nikikumbuka zanzibar ni karibu sana ila siwezi kupaona kwa macho nikiwa Dar
Maana naamini dunia ingekuwa flat Lazima zanzibar pangeonekana
Kwann mkuuVitu vingine ni bora ukanyamaza.
We can't feel Earth's rotation or spin because we're all moving with it, at the same constant speed. Earth spins on its axis once in every 24-hour day. ... It's because you and everything else – including Earth's oceans and atmosphere – are spinning along with the Earth at the same constant speedWe jamaa ujinga wako ni wa kiwango cha kipekee kabisa..!![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
We can't feel Earth's rotation or spin because we're all moving with it, at the same constant speed. Earth spins on its axis once in every 24-hour day. ... It's because you and everything else – including Earth's oceans and atmosphere – are spinning along with the Earth at the same constant speednakubali ujinga wangu ni wa kipekee umepitiliza mipaka 🙂🙂🙂
AmenKweli nimeamini Jahannam ipo. Mungu tunusuru na huo moto
Its rotation on its axisMkuu unaweza ukaniambia kwa nini jua kila siku linachomoza mashariki na kuzama magharibi!?
Usiku huwa linarudishe na kuanza tena safari ya asubuhi kesho yake?
Ni north amerikaHapo kwenye Korea kuwepo Jupiter ndio sijaelewa
Kweli aisee ila punguza ukaliHalafu unakuta mpumbavu mmoja ameshashiba maharage yake amekaa miguu juu amekosa kazi ya kufanya anasema hakuna Mungu,hakuna Mungu haya yote ameyafanya babaako!!!
Ni kweliMkuu naona mwenye uzi alikuwa na maanisha North America,bado pia kuna walakini kile kimbunga chekundu kwenye jupiter ni kikubwa kuliiko dunia hii tunayoishi
Matani yako sasaNa wewe unaamini kabisa dunia hii ni kama chapati kubwa.ungeamini kitumbua, kidogo nigekuona. au tonge la ugali ningewaza.
SawaZENJIBHARIA ingia
Modern flat Earth societies - Wikipedia