impongo
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 8,838
- 7,891
Huenda wanafaham lakini hawana uzalendoNadhani hawajaiona "bigger picture"ya hili tishio la kutoweka kwetu.
Huenda wanafaham lakini hawana uzalendoNadhani hawajaiona "bigger picture"ya hili tishio la kutoweka kwetu.
Mkuu nita kuja pm tushaurianeAnzisha uzi bila kuchelewa.halafu tuwatag kina mchemba nape na wengine wengi humu jukwaani
Mkuu huenda atakua amekuelewa
Tukitoweka na wao wanatoweka.Huenda wanafaham lakini hawana uzalendo
Vijana ndio wanalengwa,ndio kundi muhimu katika survival of the race.sijui TFD kama inalijua hili.Tumetumia dawa za uzazi za wanaume tunaletewa na wakongomani wanatoa china ndio zinatufanya hivi
Niliumia hivi kweli serikali inafaham?
Ndugu island, sasa kama hakuna upande ulio chini au upande ulio juu inakuwaje basi dunia iwe "duara"? Kwa mfano ukishika mpira wa miguu kuna upande unakua juu na upande unaokuwa chini; kwa dunia ambayo ni duara kama yai hivi (oval) nayo pia lazima iwe na upande ambao uko juu na upande ambao uko chini. Sasa kama kweli dunia ni duara kama wanavyosema hao "wanasayansi:, inakuwaje basi popote pale walipo watu duniani wote wakiangalia juu wanaona anga??Hamna upande wa dunia ulio juu wala chini , hizi ni assumption zetu tu lakini kisayansi hamna hicho kitu , vitabu vyote huwezi kukuta eti upande huu ni juu , hiyo tumetengenza sisi tu kwa kuangalia angani ila amini hamna juu wala chini
ebu jibu kwa kiswahili hapa tukupate vizuriThe question does not make sense itself since time does not exist before God!Hence there is no time for God to create universe
Ndugu island, sasa kama hakuna upande ulio chini au upande ulio juu inakuwaje basi dunia iwe "duara"? Kwa mfano ukishika mpira wa miguu kuna upande unakua juu na upande unaokuwa chini; kwa dunia ambayo ni duara kama yai hivi (oval) nayo pia lazima iwe na upande ambao uko juu na upande ambao uko chini. Sasa kama kweli dunia ni duara kama wanavyosema hao "wanasayansi:, inakuwaje basi popote pale walipo watu duniani wote wakiangalia juu wanaona anga??
Hebu tazama huu mchoro hapo chini kisha uniambie nini kinasababisha dunia ambayo ni duara iwe na sehemu zote ziko sawa kama vile ni tambarare? Ukiniambia eti ni "gravitational force" siwezi kukubaliana na wewe. Ukiniambia "It's a miracle" nitakubaliana na wewe.
View attachment 635817
Mtu ambaye yuko sehemu "B" akiangalia juu anaona anga
Mtu ambaye yuko sehemu "D" akiangalia juu pia anaona anga
Kama sehemu "A" pia kuna mtu yeye pia akiangalia juu anaona anga hilo hilo.
Kama dunia ingekuwa kweli ni duara, basi watu wanaoishi sehemu "D", "F" na "E" wao ndiyo wangekuwa sehemu ya juu na wengine ambao wapo sehemu "C", "A" na "B" wangejiona wapo upande wa chini.
Je ni kweli kwamba "force of gravity" ndiyo inafanya tuone dunia ni kama tambarare wakati ni duara? Unataka kusema "force of gravity" inatupumbaza akili tusione tofauti ya kuwepo kwa duara?
Kama kweli dunia ni "duara" kama hapo juu, ni wapi ilipo "curvature" ya hilo duara? Kila mahali unapokwenda duniani hukuna na hiyo "curvature" ya duara.
Kuna watu wanaamini kuwa dunia ni kama "sahani" hivi au "disc" na haizunguki jua wala haijizungushi kwenye mhimili wake, isipokuwa jua na mwezi ndiyo vinaizunguka dunia kiupande upande ndiyo maana tunapata usiku na mchana. Tazama hiyo picha hapo chini. Watu hawa wanasema wanasayansi wanadanganya kuwa dunia ni duara kama "yai" au "mpira".
View attachment 635876
Fizikia inahitaji mtu mwenye uelewa usio tia shakaNi matumaini yangu mkuu , ukweli ni kwamba mambo kama air pressure , gravitational force , relativity inachukua miaka kuyaelewa na kupata picha kamili na kwa bahati mbaya wengi tumefundishwa na walimu ambao hawakutoa mifano hai ya kila siku zaidi ya kuandika formula ubaoni . Ila laws na principle nyingi tunaziishi na kuzi obey kila siku bila kujua.
Sitamsahau mwl wangu wa physics form one siku ya somo la pressure /force kama sijakosea , jamaa aliingia na vipini akatukabidhi akatwambia tujichome mkononi tutumie force kidogo then tutumie force kubwa, alafu akatuacha tusijue anafanya nini yeye akaendelea kufundisha, mwisho wa kipindi wengi tukaelewa relation ya force , pressure na area.
Form two kulikuwa na issue za effort, load na fulcrum, jamaa alitutoa nje mpaka kwenye gari akiwa na spana ndefu na fupi , tulijionea wenyewe nut ilivyofunguliwa kirahisi kwa spana ndefu.
Mpaka namaliza form four sikuwahi kusahau haya mambo.
Ndio maana inatupasa kuwa mfanoTukitoweka na wao wanatoweka.
TFDA Hawajui ama wanajua uwajibikaji wetu ngazi za serikali ni wakutia mashakaVijana ndio wanalengwa,ndio kundi muhimu katika survival of the race.sijui TFD kama inalijua hili.
Hizi mamlaka za udhibiti ziwe zinatoa elimu kwa wananchi kwanza, wananchi wakishajitambua itakuwa kazi rahisi kwa sababu wako kwa ajili ya wananchiTFDA Hawajui ama wanajua uwajibikaji wetu ngazi za serikali ni wakutia mashaka