Illakwahhi
JF-Expert Member
- Oct 13, 2017
- 465
- 744
- Thread starter
- #741
Pamojaasante mkuu
Pamojaasante mkuu
Actually kuna watu huwa hawaamini na tutazidi kuburuzwa,wakati sisi tunafunga migodi wamarekani wanaandaa mipango ya kufanya exploration ya miadini katika angaKweli bwana mkubwa umemjibu poa sana.Habari za kama hao ndio zinatufanya tushindwe hata kutengeneza karatasi za kuchambia.Hata gagulo zinatoka china kwa sababu tu ufinyu wa mawazo.Mleta mada ameeleza kwa upeo wake na elimu aliyopata.
Ukitaka kujua Science ya kusadikika zaidi,ajiulize tu kwenye Teknolojia watu walikuwa wanawaza nini?Gunduzi za komputa,magari,automated trains,aircrafts.Wangekuwa wavivu wa arguments basi wasingekuwa hapo tulipo sasa.
Mleta mada katuonesha japo wengi wanajifanya sijui picha za computer sijui kusadika.Baasi tunaomba mtupe na nyie picha zenu za ukweli na Arguments ambazo zita clarfy kuwa mnachosema ni dhahiri ili tuzidi kujifunza.
Watu huko wanahangaisha vyichwa vyao kujua kila jambo hata tunapinga,weupe watazidi kupiga hatua.Na sisi tuzidi ku copy na ku paste japo hatuwezi.Tubishe kwa hoja na ushahidi kama mleta mada.
HahahaFanya na wewe Assumptions zako.
Safi sanaView attachment 630787 View attachment 630788
Hawa ni baadhi tu ya wanaanga weusi hawa wanatuwakilisha.
Kweli mkuuUsiku wa giza na usio na mawingu,na haswa ijumaa mpaka jumapili umekaa peke yako na telescope yako unaanza kuscan mbingu, trust me mungu hana choyo atakubariki na images ambazo ni kama anakuambia..jee?unaona nilivyowatengenezea nilivyoumba mbingu. na jee? Udogo na upweke wenu munauona? imani yako itaongezeka trust me.
Wazungu wanatupa tyu baadhi ya mambo,ziko siri nyingi sana zimefichwa ili kuepusha taharuki dunianiAsante sana,pamoja na kujitolea kuleta elimu ya ufaham naona kuna baadhi yetu haiwaingii, ipo siku watajua kinachoendelea japo watakuwa wapo nyuma ya wakati.
Jumbe kama hizi ziko nyingi sana,zinasadikika zinato kwa maeliens,kuna usiri mkubwa unaendelea katika hili,inasemekana marekani ilidondosha Bomu la nyuklia kwa siri kule mwezini na warusi pia walishambulia UFO jambo ambalo limeibua bifu kubwa na viumbeanga,inasemekana ndo sababu kubwa ya mmarekani kutokurudi mwezini mpka Leo!Mwaka 1998 jambo la ajabu liliwahi kutokea, NASA walipokea message kutoka katika galaxy ya Andromeda. kuna Androids au Andromedians walituma ujumbe wa kuomba msaada. NASA baada ya kuufumbua wakagundua kuna viumbe vyenye akili kama sisi vilikuwa vikijiangamiza vyenyewe kwa vyenyewe, lakini kuna walakini katika hii..inasemekana ujumbe huu ulitumwa wakati mwanadamu bado akiishi mapangoni au mwanadamu alikuwa hayupo kabisa.
Jitahd mkuu kidogo kidogo utaelewa
Wapi hapa??
Yaah ila ni kubwa sana kwahy utaona kasehemu kadogo sanaHivi unaeza ona mikyway galaxy bila telescope
Yaani siku viumbe wakigundulika itakuwa taharuki kubwa sanaHizi picha zinatupa matumaini makubwa ya uwepo wa viumbe zaidi katika galaxy ya milky way,swali ni je?viumbe hao ni kama sisi au ni wanyama pori tu ambao akili yao ni kuwinda na kula tu kama walivyokuwa madinosaurs.
Uwezekano ni mkubwa kwan kuna matrilioni ya galaxy kitu kinachotupa uhakika mkubwaUwezekano wa kuwepo viumbe wengine kwenye matrilion ya ma terrestrial planets yanayozunguka matrilion ya nyota kwenye mabilion ya galaxies upo
Asante mkuuAngalizo pamoja na maelekezo hayo hapo juu,angalau inatakiwa ujue kutambua nyota,sayar husika wakt ukifuatiliamaelekezo ya kutambua mizunguko ya hapo juu.
Tujitahid angalau tulijue hata kidogo kwan kadri siku zinavyoenda Mungu akituma uzima tutayajua mengi sana
YaahWell written
Yes,km kule mars marekani kagundua madini mangi sna ya thaman yakiwemo chuma na hivi,km sijasahu miaka ya nyuma kidogo hao wamerekani walishaanza mchakato wa kwenda kutachimba hayo madin,haswa walianza na mradi wa kuchimba chuma,huo mradi utaambatana na marobot eolomaprofessor wa geology mpk marobot makuli wa kupakia vyuma ktk ma-container,mradi wa air-ship cargo,yaan,ni fullActually kuna watu huwa hawaamini na tutazidi kuburuzwa,wakati sisi tunafunga migodi wamarekani wanaandaa mipango ya kufanya exploration ya miadini katika anga
Aisee sisi huku tunapimana mkojo na kununua madiwani!Yes,km kule mars marekani kagundua madini mangi sna ya thaman yakiwemo chuma na hivi,km sijasahu miaka ya nyuma kidogo hao wamerekani walishaanza mchakato wa kwenda kutachimba hayo madin,haswa walianza na mradi wa kuchimba chuma,huo mradi utaambatana na marobot eolomaprofessor wa geology mpk marobot makuli wa kupakia vyuma ktk ma-container,mradi wa air-ship cargo,yaan,ni full
Karibu mkuuNilisoma geograph A level..
Nilikuwa naenjoy sanaaaaa