Kweli bwana mkubwa umemjibu poa sana.Habari za kama hao ndio zinatufanya tushindwe hata kutengeneza karatasi za kuchambia.Hata gagulo zinatoka china kwa sababu tu ufinyu wa mawazo.Mleta mada ameeleza kwa upeo wake na elimu aliyopata.
Ukitaka kujua Science ya kusadikika zaidi,ajiulize tu kwenye Teknolojia watu walikuwa wanawaza nini?Gunduzi za komputa,magari,automated trains,aircrafts.Wangekuwa wavivu wa arguments basi wasingekuwa hapo tulipo sasa.
Mleta mada katuonesha japo wengi wanajifanya sijui picha za computer sijui kusadika.Baasi tunaomba mtupe na nyie picha zenu za ukweli na Arguments ambazo zita clarfy kuwa mnachosema ni dhahiri ili tuzidi kujifunza.
Watu huko wanahangaisha vyichwa vyao kujua kila jambo hata tunapinga,weupe watazidi kupiga hatua.Na sisi tuzidi ku copy na ku paste japo hatuwezi.Tubishe kwa hoja na ushahidi kama mleta mada.